Balaa limewaangukia Jangwani.
Mudi kamwaga mihel,,,,,kuanzia walinzi wa getini wa cas mpaka wafagiaji.Mudi mudi
Mudi kamwaga mihel, kuanzia walinzi wa getini wa cas mpaka wafagiaji.
Ninyi hamna? Manji si karudiMudi kamwaga mihel,,,,,kuanzia walinzi wa getini wa cas mpaka wafagiaji.
Yanga ni timu ya Wananchi! Siyo ya mtu na kimada wake kama huko kwenu mtaa wa saba.Ninyi hamna? Manji si karudi
IBalaa limewaangukia Jangwani.
Wenzenu wamesoma comment yangu presha imepanda huko,drip sita wametundikiwa.Acha kuropoka, Cass siyo tifuatifua, hukumu ikitoka unaiona kwenye online
I
List of hearings - This list is published for information purposes only. In general, CAS hearings are not open to the public.Mbaka muda huu tovuti ya CAS haijazungumza hukumu yoyote kwenye kesi zilizo takiwa kutolewa maamuzi leo.ila Kuna kesi ambazo zinasikilizwa Leo, kesho na kuendelea Ila hakuna kesi iliyo tolewamaa muzi mbaka saaizi saa 19:00HRS kwa saa za Afrika Mashariki.
Mbumbumbu ndiyo wanahahaWenzenu wamesoma comment yangu presha imepanda huko,drip sita wametundikiwa.
Mme msajili domo kaya a.k.a domo chafu mmeona mmepata watani!Mbumbumbu ndiyo wanahaha
Mbaka-mpaka,Mbaka muda huu tovuti ya CAS haijazungumza hukumu yoyote kwenye kesi zilizo takiwa kutolewa maamuzi leo.ila Kuna kesi ambazo zinasikilizwa Leo, kesho na kuendelea Ila hakuna kesi iliyo tolewamaa muzi mbaka saaizi saa 19:00HRS kwa saa za Afrika Mashariki.