Huko CAS vipi ile ishu ya Morrison

Huko CAS vipi ile ishu ya Morrison

TUPAMBANE

Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
62
Reaction score
88
Habari,

leo ndio kuna fununu ya ile kesi ya kijana wetu mpendwa Morrison kule CAS. Je kuna mwenye taarifa yeyote?
 
HUKUMU KESI YA MORRISON CAS LEO

Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa kesi za Michezo (CAS) inatarajia kutoa maamuzi juu ya kesi ya Klabu ya Yanga dhidi ya mchezaji wa Simba, Benard Morrison.

Kulingana na taarifa ya awali iliyotolewa na klabu ya Yanga kesi hiyo itatolewa hukumu leo Jumanne, Agosti 24, 2021 na Jaji Patrick Stewart kutoka Uingereza
 
Kwisha habari huko,,,,BM ni mchezaji halali wa Simbaaaa,,,,woyooooooooooooooooooooooooooooooooooo.
Kwa hii comment kuna wenzenu huko wamewekewa drip sita,presha imepanda!
 
Mbaka muda huu tovuti ya CAS haijazungumza hukumu yoyote kwenye kesi zilizo takiwa kutolewa maamuzi leo.ila Kuna kesi ambazo zinasikilizwa Leo, kesho na kuendelea Ila hakuna kesi iliyo tolewamaa muzi mbaka saaizi saa 19:00HRS kwa saa za Afrika Mashariki.
 
List of hearings - This list is published for information purposes only. In general, CAS hearings are not open to the public.
Due to the travel restrictions linked to the Covid-19 pandemic, some hearings may be conducted by video conference.
 
Kuna uwezekano mkubwa Wakili Msomi Peter Kibatara,eeeh I mean Benard Morrison,atakuwa amewagalagaza vyura wa kijani.

Na ili kuficha aibu Uto wakaamua kulitambulisha semaji lopolopo ili media zote ziwe busy na semaji hilo la kimatahira,I'm sorry again semaji la kimataifa, huku wakisahau ishu ya CAS.
 
Mbaka muda huu tovuti ya CAS haijazungumza hukumu yoyote kwenye kesi zilizo takiwa kutolewa maamuzi leo.ila Kuna kesi ambazo zinasikilizwa Leo, kesho na kuendelea Ila hakuna kesi iliyo tolewamaa muzi mbaka saaizi saa 19:00HRS kwa saa za Afrika Mashariki.
Mbaka-mpaka,
 
Back
Top Bottom