Pre GE2025 Huko CCM mwenye uwezo wa kuiamsha serikali ifanye kazi ni Kassim Majaliwa pekee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Maswa Yetu

Senior Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
155
Reaction score
217
Mpaka sasa nchi nzima tunakubaliana kwamba utendaji wa serikali unazorota kila kukicha, wafanyakazi wa serikali wanafanyakazi wanavyojisikia, kama hauamini hili subiri utakapopata shida ya kukutana na watendaji wa serikali ndiyo utaelewa.

Kwa tathimini ya haraka kiongozi anayejielewa, anayeheshimika na wananchi wa rika zote, dini zote, vyama vyote ni waziri mkuu Kassim Majaliwa .Hata wapinzani kama Chadema huwa hawamsemi vibaya Kassim Majaliwa.

Kwenye serikali nzima ya Rais Samia ni Kassim Majaliwa tu ndiyo anapofanya ziara sehemu viongozi huwa wanaogopa madudu yao kuibuliwa, hata wananchi wa kawaida kabisa (wanyonge) wakimuona Kassim Majaliwa hupata faraja kwamba angalau shida zao zitasikilizwa.

Viongozi wengine hata wanapofanya ziara hamna anayewaogopa maana hawatatui wala kusikiliza kero yoyote ya wananchi zaidi ya kupongezana na kugawana posho tu.

Naamini kama watanzania watamfanya Kassim Majaliwa kuwa rais wao ,utendaji wa serikali utabadilika sana na watu wataanza kuchapa kazi kama enzi ya Rais Magufuli.
 
Siku zote mimi huamini pia Majaliwa ni mtu sahihi, tatizo ni wakati, mfumo, mtandao haumuhitaji Majaliwa kwa sasa, wanaofanya hivyo wanafanya makusudi, waoga,.

Ndio maana mara nyingi nimeandika hapa na ninaonekana nina chuki naye ya kuwa akae pembeni, Mama hayuko pamoja naye, mama ni lesser affair!!
Kwa mantiki hiyo Majaliwa anaonekana anapwaya, anakuwa underrated kwa Makusudi!!

Ila all in all ukiachia tabia yake ya visasi kuweka bifi na watu kwa vitu vidogo kwa miaka na miaka, Majaliwa "Mjomba" hayuko vibaya!!! 🤔🤔
 
Mpaka sasa nchi nzima tunakubaliana kwamba utendaji wa serikali unazorota kila kukicha, wafanyakazi wa serikali wanafanyakazi wanavyojisikia, kama hauamini hili subiri utakapopata shida ya kukutana na watendaji wa serikali ndiyo utaelewa.

Kwa tathimini ya haraka kiongozi anayejielewa, anayeheshimika na wananchi wa rika zote, dini zote, vyama vyote ni waziri mkuu Kassim Majaliwa .Hata wapinzani kama Chadema huwa hawamsemi vibaya Kassim Majaliwa.

Kwenye serikali nzima ya Rais Samia ni Kassim Majaliwa tu ndiyo anapofanya ziara sehemu viongozi huwa wanaogopa madudu yao kuibuliwa, hata wananchi wa kawaida kabisa (wanyonge) wakimuona Kassim Majaliwa hupata faraja kwamba angalau shida zao zitasikilizwa.

Viongozi wengine hata wanapofanya ziara hamna anayewaogopa maana hawatatui wala kusikiliza kero yoyote ya wananchi zaidi ya kupongezana na kugawana posho tu.

Naamini kama watanzania watamfanya Kassim Majaliwa kuwa rais wao ,utendaji wa serikali utabadilika sana na watu wataanza kuchapa kazi kama enzi ya Rais Magufuli.
Astaghafirurah!!!!!
Huyu huyu "piko boy"!!!??
Kweli kwa TZ " utendaji" utakuwa na maana nyingine kabisa tofauti na ile inayojulikana.
 
Mpaka sasa nchi nzima tunakubaliana kwamba utendaji wa serikali unazorota kila kukicha, wafanyakazi wa serikali wanafanyakazi wanavyojisikia, kama hauamini hili subiri utakapopata shida ya kukutana na watendaji wa serikali ndiyo utaelewa.

Kwa tathimini ya haraka kiongozi anayejielewa, anayeheshimika na wananchi wa rika zote, dini zote, vyama vyote ni waziri mkuu Kassim Majaliwa .Hata wapinzani kama Chadema huwa hawamsemi vibaya Kassim Majaliwa.

Kwenye serikali nzima ya Rais Samia ni Kassim Majaliwa tu ndiyo anapofanya ziara sehemu viongozi huwa wanaogopa madudu yao kuibuliwa, hata wananchi wa kawaida kabisa (wanyonge) wakimuona Kassim Majaliwa hupata faraja kwamba angalau shida zao zitasikilizwa.

Viongozi wengine hata wanapofanya ziara hamna anayewaogopa maana hawatatui wala kusikiliza kero yoyote ya wananchi zaidi ya kupongezana na kugawana posho tu.

Naamini kama watanzania watamfanya Kassim Majaliwa kuwa rais wao ,utendaji wa serikali utabadilika sana na watu wataanza kuchapa kazi kama enzi ya Rais Magufuli.
Peleka upuuzi mbali ww chawa. Yaani waziri mkuu aimshe serekali ifanye kazi wakati yeye ndio serekali mwenyewe!
 
Back
Top Bottom