Huko Duniani Rais anapimwa hivi na taasisi zao

maduka yanaiba dawa hospitalini,yosegee mita 500. hii nchi ina watu hopeless kabisa
 
Trump aliwahi kuwa mwanajeshi
Labda alikua wa JKT Suma.

Trump kwenda kupigana Vietnam tu hakwenda baada ya dingi ake kufoji documents kutoka kwa Dr. Kuonyesha mtoto wake anaumwa baridi yabisi.

Trump hata kua mgambo wa kata tu, hajawahi.
 
Huku ni bara la giza sn hakuna kinachoendelea zaidi ya watawala kupiga pesa za umma
 
Jamaa wapo mbali sn
 
Ndio maana aliongoza only for 4 years kiuhalisia Ilikuwa bora wampitishe Tramp kuliko Bi Clinton... Ndio ujuwe USA sio watu wa mchezo mchezo..
Kama umekuwa ukifuatilia Presidential debates na opinion polls, ni mtu wa kwanza kushindwa debates zote tatu, ni mtu wa kwanza ku-miss behave kwenye debates.

Kwa namna akili yake ilivyo ya ajabu, alitaka kulazimisha kupindisha matokeo ya GA. Angekuwa nchi zenye mifumo dhaifu bila shaka hilo lingewezekana.

Organization ya Jan 6, 2021 kwa wahuni kuvamia CapitolHill ili kujaribu kuzuia kura za mwisho (electoral college confirmation); ukiongea na wamarekani wanajishangaa, waliwezaje kuwa na such a CinC.

Mbaya zaidi, wote waliofanya nae kazi kwa ukaribu kwa Steve Bannon, Gen. John Kelly aliekuwa chief of staff, Gen. James Mattis aliekuwa Waziri wa Ulinzi, Rex Tillerson, wanasema Trump ni mtu mvivu wa kusoma briefings na mwenye uwezo mdogo wa kifikiri na kutoa maamuzi on time.

Ametoka akiwa highly low rated.
 
Sasa Tanzania na Chief Hangaya na JK tunatoboa kweli?
 
Kuna mtu aliwahi kuwa Rais wa USSR anaitwa Gobachev ( kama sijakosea)....
 
Tukumbuke pia, haya mataifa ya Africa ni machanga sana aka nchi changa.... hao tunaotolea mifani ni mataifa yaliyokomaa na yana miaka miiingi tangu uwepo wake..
 
Tukumbuke pia, haya mataifa ya Africa ni machanga sana aka nchi changa.... hao tunaotolea mifani ni mataifa yaliyokomaa na yana miaka miiingi tangu uwepo wake..
Ulichokiandika ndio mwisho wa mawazo yako au unaendelea kuandika?
 
Unafaa kuwa Rais wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…