johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huko duniani ni kawaida kabisa Mtendaji Mkuu wa Shirika kama TRC kujiuzulu mara moja pale Treni inapopinduka kwa sababu ya uzembe unaoonekana kwa macho.
Nakumbuka Tanzania kuna waziri alijiuzulu enzi ya Mkapa kwa sakata ama la treni au MV Victoria nimesahau kidogo.
Usafiri wa treni siyo sawa na Shabiby bus.
Maendeleo hayana vyama!
Nakumbuka Tanzania kuna waziri alijiuzulu enzi ya Mkapa kwa sakata ama la treni au MV Victoria nimesahau kidogo.
Usafiri wa treni siyo sawa na Shabiby bus.
Maendeleo hayana vyama!