johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katika utawala wa CCM hakuna utamaduni wa kujiuzulu,watu wanatoa hadi makafara ya watoto wao ili wapate uwaziri leo uwaletee ngonjera za kujiuzulu ili kuwajibika, watakuroga mchana kweupeeeeee.Huko duniani ni kawaida kabisa mtendaji mkuu wa shirika kama TRC kujiuzulu mara moja pale Treni inapopinduka kwa sababu ya uzembe unaoonekana kwa macho....
Naona mwaka huu umeamua kuwa mnaa! Hupendezi kwa sifa hiyo kwani waziri na ceo wa trc ni mataga wenzako! Isijekuwa unatafuta uteuzi kwa njia ya ufitini?Huko duniani ni kawaida kabisa Mtendaji Mkuu wa Shirika kama TRC kujiuzulu mara moja pale Treni inapopinduka kwa sababu ya uzembe unaoonekana kwa macho....
Huko hufanya hivyo kwakuwa Ajali nyingi huwa ni za Uzembe, lakini za kwa wale Wasiondelea Ajali zao nyingi huwa ni za Kutoana Makafara sana.Huko duniani ni kawaida kabisa Mtendaji Mkuu wa Shirika kama TRC kujiuzulu mara moja pale Treni inapopinduka kwa sababu ya uzembe unaoonekana kwa macho...
Reli ya 1908,imesombwa na maji unataka Nani ajiuzulu,labda serikali yote ilioruhusu uendelee kutumikaHuko duniani ni kawaida kabisa Mtendaji Mkuu wa Shirika kama TRC kujiuzulu mara moja pale Treni inapopinduka kwa sababu ya uzembe unaoonekana kwa macho.
Katika utawala wa CCM hakuna utamaduni wa kujiuzulu,watu wanatoa hadi makafara ya watoto wao ili wapate uwaziri leo uwaletee ngonjera za kujiuzulu ili kuwajibika, watakuroga mchana kweupeeeeee
Mpelekeni mahamani siyo mnabana bana pua kuongea mambo msiyoyajua.Aanze mbowe na kashfa ya kula ruzuku mali ya umma