Huko kwenu vipi kuhusu discontinuity

Huko kwenu vipi kuhusu discontinuity

Wanafunzi wa SUA, Sasa hivi msiogope tena Disco, ogopeni kitu cha alshababu. Hasa wale wa kule magorofani na mazimbu ndani. Wewe Chunga sana.
 
Hapa ndo naamini kila chuo na utaratibu wao kweli! Mimi sisomi SUA so nilikuwa sijui utaratibu wao na kinacho wa cost mwaka wa kwanza wengi ni kuto elekezwa kuhusu hii kitu
 
lakini kiuhalisia,sup 5 kati ya kozi 6 hapo ni umedisco tu,maana kama una sup 5 gpa nayo itakua ni kama 0.5,asa hapo utatokaje kwa semister ya pili?

hapo ndo utajijua kutokana na stress unaweza kuongeza tena semester ya Pili ukashuka zaidi Kisha kwenu kifupi very difficult!
 
lakini kiuhalisia,sup 5 kati ya kozi 6 hapo ni umedisco tu,maana kama una sup 5 gpa nayo itakua ni kama 0.5,asa hapo utatokaje kwa semister ya pili?

hapo ndo utajijua kutokana na stress unaweza kuongeza tena semester ya Pili ukashuka zaidi Kisha kwenu kifupi very difficult! Lower Second Degree huwa Tunaifurahia sana
 
Back
Top Bottom