Huko kwenu vipi?

mbatizajijr

Member
Joined
Nov 20, 2019
Posts
28
Reaction score
18
Huko kwenu vipi jamani mimi huku kwetu naanza kuzoea haya maisha ya kuishi bila WhatsApp, Facebook, YouTube, Telegram saivi na enjoy tu hapa Jamiiforums😂
 
Tumia VPN mkuuu


Mi kuna jamaaa huku kijijini kwetu igowile ameniekea kwenye simu kwa elfu 80 huwezi amini hapo amenipunguzia alikuwa anataka laki sahivi naperuzi tu bila shida yoyote
Kutumia VPN kwenye hii serekali ya CCM ni kosa la jinai,unatafuta kwenda jela wewe siyo bure.Serekali ya CCM ilishapitisha sheria ya kukataza VPN Tanzania
 
Hii ya kuzima mitandao ya kijamii/internet restricted, binafsi naona kama ni bomu kubwa linalo subiri kupasuka siku sio nyingi...
Ebu ngoja tuone
 
Kutumia VPN kwenye hii serekali ya CCM ni kosa la jinai,unatafuta kwenda jela wewe siyo bure.Serekali ya CCM ilishapitisha sheria ya kukataza VPN TanzaniaView attachment 1616065
Watanishikia wapi na VPN inatunza privacy yangu hapo utakuta hata ip adress wanaipata ya seoul japan wakati mi npo manzese wafungue Internet sio wakataze halafu ndo hivo wanatufungia

Hii nchi mbogamboga inaipeleka kubaya
 
Huna akili za kufikiri!Magufuli anasubiria aapishwe afute internet pamoja na matumizi yote ya mitandao ya kijamii Tanzania.Suluhisho pekee ni kuitoa CCM madarakani kwa jasho na damu.
HAHAH Ingia BARABARANI... kama huwez tuliza kende

Tutawavunjaa
 
TCRA wenyewe wanatumia VPN nikiona tu ana tweet najisemea ijue nguvu ya VPN kina slow slow na maninja wakijani wote full ma vpn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…