mbatizajijr
Member
- Nov 20, 2019
- 28
- 18
Huko kwenu vipi jamani mimi huku kwetu naanza kuzoea haya maisha ya kuishi bila WhatsApp, Facebook, YouTube, Telegram saivi na enjoy tu hapa Jamiiforums😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutumia VPN kwenye hii serekali ya CCM ni kosa la jinai,unatafuta kwenda jela wewe siyo bure.Serekali ya CCM ilishapitisha sheria ya kukataza VPN TanzaniaTumia VPN mkuuu
Mi kuna jamaaa huku kijijini kwetu igowile ameniekea kwenye simu kwa elfu 80 huwezi amini hapo amenipunguzia alikuwa anataka laki sahivi naperuzi tu bila shida yoyote
Atakua anatumia free basicJF unaipataje bila VPN?
Nielekeze broTumia VPN mkuuu
Mi kuna jamaaa huku kijijini kwetu igowile ameniekea kwenye simu kwa elfu 80 huwezi amini hapo amenipunguzia alikuwa anataka laki sahivi naperuzi tu bila shida yoyote
Watanishikia wapi na VPN inatunza privacy yangu hapo utakuta hata ip adress wanaipata ya seoul japan wakati mi npo manzese wafungue Internet sio wakataze halafu ndo hivo wanatufungiaKutumia VPN kwenye hii serekali ya CCM ni kosa la jinai,unatafuta kwenda jela wewe siyo bure.Serekali ya CCM ilishapitisha sheria ya kukataza VPN TanzaniaView attachment 1616065
HAHAH Ingia BARABARANI... kama huwez tuliza kendeHuna akili za kufikiri!Magufuli anasubiria aapishwe afute internet pamoja na matumizi yote ya mitandao ya kijamii Tanzania.Suluhisho pekee ni kuitoa CCM madarakani kwa jasho na damu.
Kipigo Kitakatifuu cha MBWA koko..Huko barabarani kuna nini?
Em rejea ulichoandika... Ukamaliza KWA JASHO na DAMUUmeelewa swali?Nimekuuliza niende barabarani kwa lengo gani?
Wee bhanaa usijizungusheeee nyoosha MaelezoUnajua kusoma?Kuna sehemu yoyote nimezungumzia mambo ya barabarani?
Haisaidiii... CCM OYEEEEEEEEEEE[emoji867][emoji867][emoji867]
Anakusalimia mzee kijana.TCRA wenyewe wanatumia VPN nikiona tu ana tweet najisemea ijue nguvu ya VPN kina slow slow na maninja wakijani wote full ma vpn