Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Sawa[emoji23][emoji23] naanzaje kufuga mfugo kasema akiuza ndio anakuja na mihela kwenye bag aliloweka kwenye avatar
Sawa mkuu nikiuza mazao ndo nakuja nitakuwa na mkwanja wa uhakikaHapo sawa asee mwanaume asioneshe hata jitihada zake ukurupuke tu kumlea uwiii maisha yenyewe haya ya magu kha akae huko alime avune kwanza ndo alete miguu yake mujini
[emoji23][emoji23][emoji23]Warudi tu kama mjini kumejaa
hahahhh sawa nnSawa
Bado sana kulala mkuu nilikuwa naendelea kupanga vya kuja navyo mjiniMndali hujalala tu si ulituaga
Sasa nitalipateje huku mbeyaTuma pesa Shunie akununulie kabisa Yale yalioingia sikuhizi ukifika utalikuta stand na Shunie wanakusubilia
tehSawa mkuu nikiuza mazao ndo nakuja nitakuwa na mkwanja wa uhakika
Wandali hatujazoea kulelewaLol nilitaka kushangaa badala ya wewe mwanaume kumlea Shunie eti yeye ndo akulee uwiii shame upon you Mndali..
jamaan unapanga nn kwan mjini si mpk uuze mazao si unakuja na nguo tu na hela unachowahi kupanga n nnBado sana kulala mkuu nilikuwa naendelea kupanga vya kuja navyo mjini
Ndo uende ukijua kabisa nguo pozi la Shunie kule kawaida sana. atakupeleka beach kupunga upepo uende na nguo za mandhari hayoSawa mkuu nitarudi maana nasikia dar kuna joto na Mimi sipendi joto
Ulivyo mjibuhahahhh sawa nn
[emoji23][emoji23]Wandali hatujazoea kulelewa
Mkuu kuna vya kuanza kubebe lazima uviweke katika mifuko yake ili iwe rahisi kubebe kupeleka barabaranijamaan unapanga nn kwan mjini si mpk uuze mazao si unakuja na nguo tu na hela unachowahi kupanga n nn
au aje tu na nguo za kujia akifika nitampeleka madukaniNdo uende ukijua kabisa nguo pozi la Shunie kule kawaida sana. atakupeleka beach kupunga upepo uende na nguo za mandhari hayo
Halafu hiyo mikoti koti misweta ya baridi utaiacha sijui moro sijui iringa
anaonekana mzuri huyu ila hawa si ndio wenye utajiri wa punje asinitoe kafara tuGood man
Kumbe umejitosheleza sasa kwa kauli hio ngoja nimshawishi zaidi na zaidi shogangu Shunie
Sawa nitaacha koti makambako kwa kaka huko nitakuja kulingana na mtakavyo nielekeza nivaeNdo uende ukijua kabisa nguo pozi la Shunie kule kawaida sana. atakupeleka beach kupunga upepo uende na nguo za mandhari hayo
Halafu hiyo mikoti koti misweta ya baridi utaiacha sijui moro sijui iringa