Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Sawa mkuuhatutakuacha stand kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuhatutakuacha stand kabisa
Hahaha wakulima pesa zao za msimu aseeeh na mwaka huu sijui kama atapata mavuno kwa ule ukame uleeee mhmmhmhmhmh jiandae tu kumuhifadhi incase mkimaliza mihela yote akakosa hata nauli ya kurudi ilejeanaonekana mzuri huyu ila hawa si ndio wenye utajiri wa punje asinitoe kafara tu
Amensawa mndali tunakuombea kila la heri uuze salama
tukimaliza mipesa yote nauli ya kurudi makambako haiwezi kosekana [emoji23]Hahaha wakulima pesa zao za msimu aseeeh na mwaka huu sijui kama atapata mavuno kwa ule ukame uleeee mhmmhmhmhmh jiandae tu kumuhifadhi incase mkimaliza mihela yote akakosa hata nauli ya kurudi ileje
Mbeya na Songwe mvua ipo ya kutoshaHahaha wakulima pesa zao za msimu aseeeh na mwaka huu sijui kama atapata mavuno kwa ule ukame uleeee mhmmhmhmhmh jiandae tu kumuhifadhi incase mkimaliza mihela yote akakosa hata nauli ya kurudi ileje
Kwa sasa nasikia mikoa mingi imeanza kunyeshaThanks Jesus!
Halleluyaaaaaaaaa.....
Kweli mbeya mmebarikiwa kwingine nusura tufe kwa ukame duhhhhhhhhhhh
Hongereni sanaMbeya na Songwe mvua ipo ya kutosha
Safi sanatukimaliza mipesa yote nauli ya kurudi makambako haiwezi kosekana [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] unakula na kipofuSafi sana
Hakika inaonesha kabisa kuwa wewe ni muke mwenye kujua bajet mnakula raha ila kiakiba unaweka Mndali ndanyelakakomu you hearrrrrdddd??
Utanikopesha nikiishiwa hata nauli ya kunifikisha makambako tutukimaliza mipesa yote nauli ya kurudi makambako haiwezi kosekana [emoji23]
Asante tunamshukuru muumba wa vyoteHongereni sana
sio kukukopesha ata kukupa nitakupa tuUtanikopesha nikiishiwa hata nauli ya kunifikisha makambako tu
Sasahivi zinanyesha ila sasa zimechelewa kidogo kuna mazao yalitakiwa kupandwa enzi za ukame kidogo yamepata mushkeliKwa sasa nasikia mikoa mingi imeanza kunyesha
Sawa mkuusio kukukopesha ata kukupa nitakupa tu
Poleni sanaSasahivi zinanyesha ila sasa zimechelewa kidogo kuna mazao yalitakiwa kupandwa enzi za ukame kidogo yamepata mushkeli
Hatuna namna ndo natural calamities zenyewe hizo
Ila inshallah Mola amejaalia mvua sasa ipo
Anataka kukubebea viazi mviringo maparachichi mahindi mchele na vinginevo mkulima huyo ujue habari za kuona mnaenda kununua sokoni unga sidhani so anajipanga kwa Mipesa na vyakula vya kawaida walauNi nini hivyo mazao si unauza huko huko
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Safi sana
Hakika inaonesha kabisa kuwa wewe ni muke mwenye kujua bajet mnakula raha ila kiakiba unaweka Mndali ndanyelakakomu you hearrrrrdddd??
hapo sawaAnataka kukubebea viazi mviringo maparachichi mahindi mchele na vinginevo mkulima huyo ujue habari za kuona mnaenda kununua sokoni unga sidhani so anajipanga kwa Mipesa na vyakula vya kawaida walau