Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenAsante sana mkuu
Naona yeye hapendi mapochopochoAnataka kukubebea viazi mviringo maparachichi mahindi mchele na vinginevo mkulima huyo ujue habari za kuona mnaenda kununua sokoni unga sidhani so anajipanga kwa Mipesa na vyakula vya kawaida walau
Napenda jamaan maharage na mchele na ndizi na mtindi si utafika mbeya [emoji23]Naona yeye hapendi mapochopocho
Lol mara moja moja umtoe akale pweza urojo na mazagazaga ya mashariki buana huyo kazoea mahindi ya kuchoma tuNaona yeye hapendi mapochopocho
Nitakuja navyo usijaliNapenda jamaan maharage na mchele na ndizi na mtindi si utafika mbeya [emoji23]
Kula nitajifunza kutoka kwake maana najua vyakula vinatofautiana kulingana na mazingiraLol mara moja moja umtoe akale pweza urojo na mazagazaga ya mashariki buana huyo kazoea mahindi ya kuchoma tu
Halafu sijui atashiba Hakyamungu waluvozoea mbeya miugali wali ugali wali tena msinia huuooo
Maroli niliacha muda mrefuAnapenda buana tuna wasiwasi nawewe uliezoea kuendesha malori ni mwendo wa yugali tyu lol
Asante kwa kunifahamisha mapema nitajitahidi kufanya hivyoAndaa na tumbo lako kwa vyakula vya Dar pia ukirudi modo usishangae kule kaugali kadogo kiaina tu usije ekewa hotpot ujisevie ukahis walikuwekea pekeako kumbe ni cha wote
Mi napenda wali asijali ugali ni mara moja mojaMtindiiiii uwiii napenda mtindi sanaaaaa
Sema sasa shoga ujiandae kusonga bongesa la ugali Mndali ni wa mikoani ujue
Tuombe uzimaYeah hakika utaenjoy sana chakula cha Shunie mungu tu awajaalie
Sawa mkuu hapo kazi kwake kuzingatiaSema sasa nimeshamuonya kabisa Shunie kuwa anatakiwa akupikie ule ushibe vizuri ili urudi ileje umenenepa na si kurudi kimodo sana
Sawa maana unavyo nielekeza napata mwanga kidogoAhaa basi hapo Safi sana atakupikia wali tena wa rangi rangi usishangae kule ni Darisalama ujue ni mashariki kule