Huko kwenu Wapo?!

Huko kwenu Wapo?!

Vinyamshungushu ndo vinini mkuu mahondaw
Hahahaahhahahaahahahahaha mkuu according to huku niliko hao ni ndege wanaosemekana hutumika kwenye mapenzi
1. Ukimkamata huyo ndege ukamuuliza nitaoa/ olewa upande gani anakuonesha hio side
2. Ukimtaka mwanamke akakukataa unavizia sehemu aliyokojoa then unachukua mkia wa kinyamshungushu unachomeka pale alipokojoa huyo dada huyo dada mwenyewe anakufata/ anakutafuta
 
Back
Top Bottom