Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imooooo ndo wapi uko mkuu [emoji15] [emoji15] [emoji15]Basi wewe huhusiki na Bashite kabisa mkuu huko wewe ni mpitaji tu mkuu au nawewe ni kule imoooooooooooooooooo
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] unavyopenda sasa
Yaliyofanya uungane na smartNapenda nini mkuu??
Ahaa! Kuumbeee
Hahahaahhahahaahahahahaha mkuu according to huku niliko hao ni ndege wanaosemekana hutumika kwenye mapenziVinyamshungushu ndo vinini mkuu mahondaw
Hahahaaa! Kama kumbikumbi wenyewe.Eee kokote atapoenda Smart911 my king. He won't leave his queen . Hata kwenye issues za kiofisi haniachi tours haniachi kwa friends haniachi ikitokea hio siku atake kwenda alone I will be surprised though I won't doubt him.
Basi kumbe tunafanana kwa asilimia fulani mana nami pia baadhi ya siku huwa nafanya hivyo.Matunda ndo ugonjwa wangu yani siku nyingine usiku nalalia matunda tu . I like fruits kwakweli
Matunda ndo ugonjwa wangu yani siku nyingine usiku nalalia matunda tu . I like fruits kwakweli
Basi kumbe tunafanana kwa asilimia fulani mana nami pia baadhi ya siku huwa nafanya hivyo.