Huko kwenu Wapo?!

Amina mkuu afu ni mwenyewe tu ndo ananiambia tuambatane pamoja kila sehemu.
Mi huwa nimtu wa kulala tu na kuangalia muvi kwa Smart911
Siwezi kukucha popote love.. Kama ni hua yetu.. Kama ni mvua yetu... Kama na gari wote kama na miguu wote.. Nitoke bila wewe it will never be fun mahondaw wangu...
 
Matunda ndo ugonjwa wangu yani siku nyingine usiku nalalia matunda tu . I like fruits kwakweli
Lakini bado unaongezeka nyuma love ingawa unalalia matunda other days...[emoji7]
 
Eee kokote atapoenda Smart911 my king. He won't leave his queen . Hata kwenye issues za kiofisi haniachi tours haniachi kwa friends haniachi ikitokea hio siku atake kwenda alone I will be surprised though I won't doubt him.
Hivi love mfano kama Zanzibar nakuachaje love... Naanzia wapi kwanza mahondaw... Alafu nitakujibu nini huk nafanya nini peke yangu...

Kila tunapopata chance.. Lazima tuongozane.. Alafu kukutafuna nyumbani peke yake hainogi.. Lazima nikutafuna mazingira tofauti tofauti...


Love you sana mahondaw
 
Thanks for accepting my request Smart911 my boss
The lady amenifurahishaaa kuleeee kwa mkubhi avotaka kuleta figisu but don't forget to carry your brain with you my king.
Siwezi ropoka kitu bila ridhaa yako love... Wala siwezi entertain mwanamke yoyote ukiwa unaangalia love hata kama haupo i will never do that...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…