Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Sawa mkuuHayo ndio maneno sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuHayo ndio maneno sasa
Sawa mkuuna hela ziwe nyingi
hahahha eb tuambie kidogo ilivyokuaHii kauli yako imenikumbusha mbali sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Emmy unaonaSawa mkuu
Sipo iringa ila ndo sehemu nilipo wahi kufika na makambako iko mkoa wa njombekumbe upo iringa
Hahahaaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Emmy unaona
Kabisa mi pia nasubirihahahha eb tuambie kidogo ilivyokua
OohSipo iringa ila ndo sehemu nilipo wahi kufika na makambako iko mkoa wa njombe
Hii huwa siwezi kumsimlia mtu ila ni kauli mbiu inayo sema maskini hathaminikihahahha eb tuambie kidogo ilivyokua
Mmh mndali kidogo tu yaan bora usingetudokeza ujue sisi wambeya usipotumbia sijui kama tutalala leoHii huwa siwezi kumsimlia mtu ila ni kauli mbiu inayo sema maskini hathaminiki
Mkuu siku nikipata mda wa kutosha nitasimlia ila kwa leo hapanaMmh mndali kidogo tu yaan bora usingetudokeza ujue sisi wambeya usipotumbia sijui kama tutalala leo
Ndo hivyo mkuu
Mi nlikuwa na usingizi wote umekata kwa kusubiri kudokezwa.Mmh mndali kidogo tu yaan bora usingetudokeza ujue sisi wambeya usipotumbia sijui kama tutalala leo
Jamaan mndaliMkuu siku nikipata mda wa kutosha nitasimlia ila kwa leo hapana
he he ndio yale ya chikira kasema siku nyingine atatuambiaMi nlikuwa na usingizi wote umekata kwa kusubiri kidokezwa.
Uuwii. Umenifanya nicheke baada ya kusoma hii comment mara ya piliMmh mndali kidogo tu yaan bora usingetudokeza ujue sisi wambeya usipotumbia sijui kama tutalala leo
Basi naye tumuache huwezi kujua unaweza kuta ni la kuumiza asije akalia burehe he ndio yale ya chikira kasema siku nyingine atatuambia
Nitasimlia siku nyingineMi nlikuwa na usingizi wote umekata kwa kusubiri kudokezwa.
Siku nyingine nitasimliaJamaan mndali