Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] amesema bado hajauzaLol changamkia fursa shoga mtembeze tembeze mkulima huyo keshauza mazao yake sasahivi ana Mipesa
[emoji23][emoji23][emoji23] wa mjini wenyewe tunataka kurudi vijijiniAangalie tu asije nogewa akahamia Jijini mazima ajue kabisa mjini kumejaa
[emoji23][emoji23] naanzaje kufuga mfugo kasema akiuza ndio anakuja na mihela kwenye bag aliloweka kwenye avatarLol sasa anakuja mjini kufanya nini mikono mitupu utamuhifadhi wewe mwanamke au??
Kweli sisi washamba ni mashamba ya watu wa mjiniLol changamkia fursa shoga mtembeze tembeze mkulima huyo keshauza mazao yake sasahivi ana Mipesa
Hili begi ulithi kutoka kwa babu nataka nikifika mjini ndo ninunue la kwanguHalafu mkuu begi mbona kama mkuu wa shule au walimu wale wa miaka ileee Tehteh
Hapo sawa asee mwanaume asioneshe hata jitihada zake ukurupuke tu kumlea uwiii maisha yenyewe haya ya magu kha akae huko alime avune kwanza ndo alete miguu yake mujini[emoji23][emoji23] naanzaje kufuga mfugo kasema akiuza ndio anakuja na mihela kwenye bag aliloweka kwenye avatar
Sawa mkuu nitarudi maana nasikia dar kuna joto na Mimi sipendi jotoAangalie tu asije nogewa akahamia Jijini mazima ajue kabisa mjini kumejaa
Warudi tu kama mjini kumejaa[emoji23][emoji23][emoji23] wa mjini wenyewe tunataka kurudi vijijini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sawa asee mwanaume asioneshe hata jitihada zake ukurupuke tu kumlea uwiii maisha yenyewe haya ya magu kha akae huko alime avune kwanza ndo alete miguu yake mujini
Mndali hujalala tu si ulituagaSawa mkuu nitarudi maana nasikia dar kuna joto na Mimi sipendi joto
Hatanihifadhi ila nitauzia mjini dar nitaenda na hela tuLol sasa anakuja mjini kufanya nini mikono mitupu utamuhifadhi wewe mwanamke au??