Huko kwenye viwanja vya Saba Saba hali ikoje?

Sawa pia mkuu punguza matumizi ya chartgpt.
situmii hiyo kitu na sijui kuitumia. Na ikiwa ni kitu cha wazi, nadhani ikiwa kinaweza kukusaidia unaweza kukitumia tu gentleman,

Ila kwangu mimi,
ninafanya haya yote kwa Neema na Baraka za Mungu tu, gentleman sina cha kujivunia zaidi ya hilo humu jukwaani na nje ya jukwaa πŸ’
 
Tutupie video gentleman
Nipaone 77 palivyo sahv

Ova
 
Ila mahudhurio ya watu ni hafifu. Kwa maneno marahisi maonyesho yamedoda.
Ila mahudhurio ya watu ni hafifu. Kwa maneno marahisi maonyesho yamedoda.
Sio yamedoda Tu Bali hakuna watu wameingia sabasaba, huku mitaa yetu ya temeke,mtongani Hadi mbagala vituo vya mafuta vya lake oil vimefungwa vyote ,Hali ya barabarani Leo ni ngumu Sana Kwa wananchi kwenda sababasa
 
Maeneo mengi nchini ni kama mwaka mpya kwani maduka yamefungwa watu wengi wameitikia wito wa maandamano kwa staili ya kipekee sana na ni pigo kubwa sana kwa serikali ambayo haina ridhaa ya wananchi.
Hapa kwangu nina jirani na rafiki yangu ana magari (mabasi ya abiria) TATA nne hivi hufanya safari za Kahama - Shinyanga - Mwanza. Nayaona leo yote yamepaki nyumbani kwake...

Nipo Kahama maeneo ya mitaa ya Majengo Mapya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…