hali ni shwari sana,
mamia kwa maelfu ya wananchi wanaingia na kutoka kwenye viwanja hivyo vya maonyesho kwa amani kabisa.
In fact maonyesho hayo yataendelea hadi July 13, na kupunguza msongamano, ikiwa unaweza kuja kesho au kesho kutwa itapendeza zaidi but hali ni shwari sana kwasasa, ila msongamano ni mkubwa zaidi ukilinganisha na vipindi vingine kama hivi.🐒
Kasharuhusiwa kuingia? Yaani kadi yake ya uandishi anayo?Pascal Mayalla hebu tupe mrejesho wa kinachojiri huko saba saba maana jana umeweka bandiko humu kuwa mambo yote yatakuwa sawa.
Weka hata kapicha semaji la WACHAWI itapendezaaaaahali ni shwari sana,
mamia kwa maelfu ya wananchi wanaingia na kutoka kwenye viwanja hivyo vya maonyesho kwa amani kabisa.
In fact maonyesho hayo yataendelea hadi July 13, na kupunguza msongamano, ikiwa unaweza kuja kesho au kesho kutwa itapendeza zaidi but hali ni shwari sana kwasasa, ila msongamano ni mkubwa zaidi ukilinganisha na vipindi vingine kama hivi.🐒
We Zack analipwa vizur sanaKumbe wanashindana
Huo ni kwa mtizamo wa chawa.Ruksa kujifariji,bila kuchezea zile shaba oktoba,kupigwa lockdown na kuzimwa internet,mngeichezea serikali sharubu sana,leo hakuna mwenye hamu ya kutoa tumbo
Ndio maana yake.Watu mnajua kutunga,kama dar wamefunga hivyo Kila mkoa wamefunga😂😂
Kwetu kulikuwa shwari,hata polisihakuna.Ndio maana yake.
😂😂😂😂😂😂😂
Ndugu zangu siku nikiwa na akili kama hizi naomba mniuwe
Kweli wajinga ni wengi, hujui hata nimeandika nini wewe unakuja na ishu za mwendokasi na viongozi wakuu wa Chedema. Nimesema siku nikiwa na akili kama za Tlaatlaah ndugu zangu waniuwe. Sasa wewe unakuja na stori za mwendokasi na viongozi wa Cdm. Unajielewa kweli?Kama ujioni unafaaa kuwepo kwanini utusumbue ndugu zako!!!
Umekuja mwenyewe utaondoka mwenyewe🤣
kutupunguzia mzigo nenda Mwendo kasi kang.oe mabati uku ukisema Pipoooozz power watakusaidia uwendapo sekunde nyingi!!!!
Ujikute mawinguni
Kuunga mkono Chadema ni zaidi ya Uzombi kama ungejielewa!
Sasa viongozi wako wakuu ni awa kweli 👇👇🤣🤣
,Kweli wajinga ni wengi, hujui hata nimeandika nini wewe unakuja na ishu za mwendokasi na viongozi wakuu wa Chedema. Nimesema siku nikiwa na akili kama za Tlaatlaah ndugu zangu waniuwe. Sasa wewe unakuja na stori za mwendokasi na viongozi wa Cdm. Unajielewa kweli?
Kweli wajinga ni wengi, hujui hata nimeandika nini wewe unakuja na ishu za mwendokasi na viongozi wakuu wa Chedema. Nimesema siku nikiwa na akili kama za Tlaatlaah ndugu zangu waniuwe. Sasa wewe unakuja na stori za mwendokasi na viongozi wa Cdm. Unajielewa kweli?
Ok, sasa ishu za mwendokasi na viongozi wakuu wa Chedema zinahusiana vp na comment yangu?Nilikuelewa vizuri %100 nilichokujibu kinasimama ivyoivyo!! Tena niliwaza kama ww kuwa uyu ndugu anaweza kudhani sikumwelewa🤣
lkn nimekuelewa kabla sijakujibu✍️