Huko makanisani wanakwaya wanakulana hakuna mfano.

SAFARINI
 
Eti ccm na vyama pinzani. Nimecheka alo
 
Hata ukiwa unasali Kila ibada, unajitoa vimichango Kwa buku au buku mbili.....

Kwaya ikipata safari unawabust Kwa buku 5 au 10

Itokee kwaya inakula gambe kama ya parish yetu ya Mt. Avila ukawaungisha Kwa konyagi ndogo.

Tena uwe mkimya.....kama Mimi!!!!!

Utakula Hadi masista
 
Uzuri Yesu ni pendo na anasamehe isingekuwa hivyo
 
Wale masista hawana lolote wanaliwagwa na saundi tu.
 
Tumkimbilie Yesu.
Yupo popote na si kanisani pekee
 
Sio jambo jema kujisifia uzinzi tena mbele ya kanisa unatafuta laana mkuu tubu usifanye mchezo katika nyumba ya Mungu
Acha mambo ya kigalatia kulingana na Agano jipya nyumba ya Mungu ni mwili wa mtu na Sio jengo wewe hujasoma Sunday school nini?
Jengo ni sehemu ya pili try to understand Gospel dude nje ya hapo utakua mental slave sababu utashindwa tofautisha Agano la kale la Wayahudi na Agano jipya la Bwana wetu Yesu Kristo hivyo kwa ushauri ungemwambia kwa upendo kabisa ya kwamba Mungu yupo ndani yake na anamzoom tu anavyo tendea wenzie kitu asichopenda tendewa yeye!
 
Sasa mtu kama Posa boy hana mke unadhani anatomber wapi?
 
ni kila mahali,wabongo tunapenda sex.kijana wenu yule shujaa wa Mbeya alinaswa na tiss kwa ahadi ya kupewa mbunye na mdada mzuuri istagram akajaa mbuzi yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…