Tetesi: Huko Morogoro walimu wakataa kazi ya usimamizi uchaguzi mkuu

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,591
Reaction score
14,369
Katika hali isiyo ya kawaida walimu na watumishi kiujumla wameonyesha kila dalili ya kukataa kushiriki kusimamia uchaguzi mkuu.

Ikiwa kesho ijumaa ndio siku ya mwisho kutuma maombi ya usimamizi uchaguzi mkuu inasemwa kuwa mpaka sasa hakuna mtumishi aliyeomba kazi hizo .

Viongozi wanaonekana kupanic na kuanza kutumia vitisho dhid ya walimu
 
Na bado
 
orodha ya wasimamizi n̈a wasmamizi wasaidizi wa uchaguzi ilishatoka nchi nzimaUsitupige kamba
 
Unawatengenezea bomu.Au posho ni ndogo ukilinganisha na dhambi watakayodumu nayo maisha yao yote?
 
Natamani hii mentality ikae kwa wana mapinduzi wote wa Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…