Kwani msimamizi wa uchaguzi katika kituo cha kupiga kura lazima awe mwalimu?
Tangazo hutolewa kwa watanzania wote wenye nia, uwezo wa kusimamia wapiga kura, tujiulize wanaoweza kusimamia ni walimu pekee?
Ni form four wangapi wapo mtaani,ni wangapi waliomaliza vyuo vya kati na vikuu wapo mtaani na hawana ajira?
Wakigoma walimu wapo watanzania wengine na pengine wenye uwezo kuliko hata wao.