antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Aisee,Katika hali isiyo ya kawaida walimu na watumishi kiujumla wameonyesha kila dalili ya kukataa kushiriki kusimamia uchaguzi mkuu...
Kaharishe huo uvundo maana hicho kichwa kimejaa vinyesiKatika hali isiyo ya kawaida walimu na watumishi kiujumla wameonyesha kila dalili ya kukataa kushiriki kusimamia uchaguzi mkuu.
Ikiwa kesho ijumaa ndio siku ya mwisho kutuma maombi ya usimamizi uchaguzi mkuu inasemwa kuwa mpaka sasa hakuna mtumishi aliyeomba kazi hizo .
Viongozi wanaonekana kupanic na kuanza kutumia vitisho dhid ya walimuView attachment 3400552
Tunaiomba hiyo list mkuu.orodha ya wasimamizi n̈a wasmamizi wasaidizi wa uchaguzi ilishatoka nchi nzimaUsitupige kamba
No REFORMSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSKatika hali isiyo ya kawaida walimu na watumishi kiujumla wameonyesha kila dalili ya kukataa kushiriki kusimamia uchaguzi mkuu.
Ikiwa kesho ijumaa ndio siku ya mwisho kutuma maombi ya usimamizi uchaguzi mkuu inasemwa kuwa mpaka sasa hakuna mtumishi aliyeomba kazi hizo .
Viongozi wanaonekana kupanic na kuanza kutumia vitisho dhid ya walimuView attachment 3400552
Huyu member alishafarikMpwayungu Village njoo huku uone maajabu
google humuhumuTunaiomba hiyo list mkuu.
Halmashauri/manispaa hakuna mtumishi anaweza kugomea posho japo ya elf 2000. HayupoMmmh Nina mashaka isije ikawa unatupanga ndg mwandishi
We ndiyo unatupiga kambaorodha ya wasimamizi n̈a wasmamizi wasaidizi wa uchaguzi ilishatoka nchi nzimaUsitupige kamba
Acha uongo mi natokea hiyo kata na ndo napokea barua. Kwa taarifa Yako walimu karibia wote wameomba labda wamebakia wanaostaafu, wenye watoto wachanga na wanao karibia kujifungua.Katika hali isiyo ya kawaida walimu na watumishi kiujumla wameonyesha kila dalili ya kukataa kushiriki kusimamia uchaguzi mkuu.
Ikiwa kesho ijumaa ndio siku ya mwisho kutuma maombi ya usimamizi uchaguzi mkuu inasemwa kuwa mpaka sasa hakuna mtumishi aliyeomba kazi hizo .
Viongozi wanaonekana kupanic na kuanza kutumia vitisho dhid ya walimuView attachment 3400552
Tuwekee hapa.
Kwel kbc make walimu wa Tz vyenye wako na njaa kama waliweza had kutapeli watu kuptia Qnet Lbl sembuse kuiba kura 😃😃Halmashauri/manispaa hakuna mtumishi anaweza kugomea posho japo ya elf 2000. Hayupo
Hao wana njaa tena ya AKILI
DEDS Wana data base za machawa na makada wote wa ccm na hao ndio hua wana caguliwa kusimamia huo UCHAGUZI wala siyo kila mtumishi