Huko mtaani, wilayani kwako ni mradi gani wa serikali kama ni barabara kiwango cha lami, kiwango cha tope mkandarasi anaendelea na ujenzi?

Huko mtaani, wilayani kwako ni mradi gani wa serikali kama ni barabara kiwango cha lami, kiwango cha tope mkandarasi anaendelea na ujenzi?

Mohamed Abubakar

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
984
Reaction score
1,179
Nyie chawa mko na shida sana. Niwaulize hivi kwanini Bakhresa, Rostam hatuoni wakihangaika kumsifia Samia.

Hivi ni serikali gani inayohitaji kusifiwa kutokana na ufugaji wa pesa hadi kupelekea kushindwa kuwalipa Wazayuni kwa miezi mi3 sasa.

Tokea june 30 mfumo wa malipo wa serikali daktari wa uchumi Samia kashauriana na daktari nchemba kuufunga mfumo wa malipo.

Nambie huko mtaani kwako kuna mradi wowote mkandazi yuko kazini?

Huku duru zikisema mama katoka kidogo kwenda kuhangaika kutafuta mikopo.

Mimi binafsi ni muathirika, nitamsifia kwa lipi Samia na ccm.

Ni aina fulani tu ya watu ndio wanaweza kusifia. Watu ambao wanafaa kuwekwa ktk orodha ya maajabu ya dunia.

Inachosha sana kuwa mtz, muafrika. Na kwa bahati mbaya hakuna mbadala.

Mijadala yote ya wanasiasa hatusikii sera yyt ya kuagiza malighafi ili bidhaa zizalishwe nchini.

Tutatengeza viwanja vya mpira, tunakimhiza mwenge.

Watendaji wa Serikali bila aibu wanamdai mtoto mchanga wa miezi 6, alipe laki 6 ili aweze kutibiwa. Na kama hana akafie mbele huko. Nina mtoto wa jirani anaelekea kuwa mlemavu kwa kukosa tiba.

Vp tuwasifie watendaji hawa ambao pesa za bajeti ya taifa wanaipata sawa na wanayoiomba, lkn wakikabidhiea matumizi yake yanaegemea ktk anasa.

Ngoja niishie hapa.

Na nimalizie lea kuuliza Vipi kwa miezi mitatu serikali inashindwa kufanya purchase, wakandarasi wote wamesimama.

Na mimi ni musthirika.

Kwass matumizi yangu ni sh 1000 kwa siku, nakula mara 1. Nalala, nasoma, naenda magengeni kula ugali marage wa sh 1000 mchana au mihogo ya sh 1000 usiku.

Ccm u failed us. Na sababu ya kufeli nitazitaja kwa ufupi.

Hili li nchi ni kubwa sana. Rais mmoja haiwezi hata aje malaika.

Tunahitaji

1. Mfumo wa serikali za majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.

2. Tunahitaji kubadili itikadi ya nchi. Itikadi imefeli. Ikitadi ndio chanzo cha sera na sheria za nchi. Na ndio chanzo cha utamaduni wa raia wa nchi.

Tunahitaji kubadili itikadi ya serikali na nchi. badalq ya kuunda serikali isiyo na dini. tunahitaji kuunga mkono kuundwa kwa serikali ya dini zote.
 
Barabara ya nijia nne bukoba mjini
Umezinduliwa kwa mbwembwe
Vunja nyumba za watuu
Hadi nimiezi 3 imesimama hakuna kituuu


Standi ya Bukoba mjinii holaaa janjajanjaa tuuu.

Barabara ya Sengerema to kamanga feri

Oooo six month nothing going on


Ooo Mzalendo wa Kwelii JPM where are you

We miss you for real
 
Back
Top Bottom