Unatumia simu aliyogundua mzungu lakini unajifanya unajua sana kubeza. Kila kitu kina faida na hasara! Hata kama Ukimwi wameleta wazungu, which is not proven, sawasawa na virusi hivi kuletwa na China au Marekani, bado tunaambukizana sisi wenyewe tena kwa umakusudi. Nimewahi kuambiwa kabisa kuwa kuna mzee kijiji fulani anahonga vibinti kulala navyo kavukavu huku ana Ukimwi, wengine wanasema kabisa mimi siwezi kufa pekeyangu, sasa ni wazungu hao?
Kuna mambo mengi mazuri NGO zinafafhiriwa na wazungu zinafanya. Kuna miradi mingi ya kusaidia yatima, kujenga miradi ya maji, madarasa nk na ni vitu ambavyo serikali zimeshindwa na wazungu wanasaidia. Kuna negatives sikatai lakini there are good white men who are more than friends and love us than our own people and leaders. Grow up and see poaitivity in things!