Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wakenya uelewa wenu ni mdogo sana,katika hili ombwe la corona wala huitaji kufunga mipaka na kuzuia ndege wala kuwafungia watu ndani,mipaka itajifunga yenyewe tu ebu fikiri uganda walifunga mipaka,rwanda wamefunga mipaka,zambia nao,malawi,nyie kenya pia mmefunga mipaka kuna haja gani na sisi tufunge mipaka...licha ya kufunga mipaka na kufungia watu ndani bado corona effect tunaenda sambamba,hamjioni kma mna upunguani kiasi flani,hii janga mzee limekuja duniani,mataifa makubwa yanahaha kila mtu anajali upande wake,yaani kila mtu anapambana kimpango wake,mnachofanya nyinyi wakenya ni kuigaiga yaani hamna utaalamu wowote..mnaiga iga..juzi hapa mmeomba msaada,nyie mnachekesha sana,nani akupe msaada kipindi hiki ikiwa hao watoa msaada wenyewe wanaomba msaada..!!Kwa hili sina budi ila kumkubali kwa hayo maneno yake ya kusema damu ya Yesu tu ndio dawa maana mimi Mkristo, rais wenu amekua sugu hadi Tanzania imefungiwa mipaka na mataifa yote yaliyoizunguka, Kenya, Uganda, DRC, Rwanda na sijui Burundi kwa njaa zake kama naye ana jeuri ya kuwafungia mpaka Watanzania.
Halafu naona Watanzania tisa wamekamatwa wakijaribu kuingia Uganda kinyemela na kufukuzwa, kaeni kwenu kwa sasa acheni kupukutika, kitumbua cha dunia kimeingia mchanga.
Nine Tanzanian businessmen intercepted in Uganda, sent home
Nyie tulieni bado Corona haijaanza kufanya mazagazaga hapo Tanzania. Kwa hivyo usijisifu na kujipiga kifua bure. Tulia muda wenu unakuja. Ukiona mwenzako ananyolewa chako kitie maji. Wewe badala ya kuanza matayarisho ya kupambana na Corona, unaanza majivuno eti nyie hamutaathirika na corona. Wacha tuone kama baada ya miezi sita bado utakuwa na majivuno ama utakuwa umekalishwa chini na Corona ukipiga mayowe.Tatizo wakenya uelewa wenu ni mdogo sana,katika hili ombwe la corona wala huitaji kufunga mipaka na kuzuia ndege wala kuwafungia watu ndani,mipaka itajifunga yenyewe tu ebu fikiri uganda walifunga mipaka,rwanda wamefunga mipaka,zambia nao,malawi,nyie kenya pia mmefunga mipaka kuna haja gani na sisi tufunge mipaka...licha ya kufunga mipaka na kufungia watu ndani bado corona effect tunaenda sambamba,hamjioni kma mna upunguani kiasi flani,hii janga mzee limekuja duniani,mataifa makubwa yanahaha kila mtu anajali upande wake,yaani kila mtu anapambana kimpango wake,mnachofanya nyinyi wakenya ni kuigaiga yaani hamna utaalamu wowote..mnaiga iga..juzi hapa mmeomba msaada,nyie mnachekesha sana,nani akupe msaada kipindi hiki ikiwa hao watoa msaada wenyewe wanaomba msaada..!!
Sisi tunapambana na corona kimpango wetu,na nyie endeleeni kuiga mbinu za watu,we unafikiri kuifunga mipaka na kuwafungia watu ndani ndo mtakuwa mmepona na corona,nenda kaulize italy,spain,na hata USA,walifungia watu ndani lakini mdudu anafanya yake kama Kawa,kama dawa
Sisi tunasali,tunaomba,tunanawa mikono,tunapiga kazi..hafungiwi mtu ndani,wala mipaka haifungwi..msitutishe!
Uandishi huu ndo unajivunia nao? a simple correction for u!Ni jambo gani serikali zetu zinaweza kufanya ili kuzuia mamia ya watu kufa kila siku kwa ajili ya Corona? Jana Italy watu 743 walikufa kwa masaa 24. Leo spain watu 738 wameaga kwa masaa 24. Tutafanya nini ili kuzuia haya majanga kufika kwetu?
Nyie wakenya kwa kuwa mmefunga mipaka na kufungia watu ndani corona haitawaathiri,hongereni sana kwa kufanikiwa kupambana na corona.....Nyie tulieni bado Corona haijaanza kufanya mazagazaga hapo Tanzania. Kwa hivyo usijisifu na kujipiga kifua bure. Tulia muda wenu unakuja. Ukiona mwenzako ananyolewa chako kitie maji. Wewe badala ya kuanza matayarisho ya kupambana na Corona, unaanza majivuno eti nyie hamutaathirika na corona. Wacha tuone kama baada ya miezi sita bado utakuwa na majivuno ama utakuwa umekalishwa chini na Corona ukipiga mayowe.
Tatizo wakenya uelewa wenu ni mdogo sana,katika hili ombwe la corona wala huitaji kufunga mipaka na kuzuia ndege wala kuwafungia watu ndani,mipaka itajifunga yenyewe tu ebu fikiri uganda walifunga mipaka,rwanda wamefunga mipaka,zambia nao,malawi,nyie kenya pia mmefunga mipaka kuna haja gani na sisi tufunge mipaka...licha ya kufunga mipaka na kufungia watu ndani bado corona effect tunaenda sambamba,hamjioni kma mna upunguani kiasi flani,hii janga mzee limekuja duniani,mataifa makubwa yanahaha kila mtu anajali upande wake,yaani kila mtu anapambana kimpango wake,mnachofanya nyinyi wakenya ni kuigaiga yaani hamna utaalamu wowote..mnaiga iga..juzi hapa mmeomba msaada,nyie mnachekesha sana,nani akupe msaada kipindi hiki ikiwa hao watoa msaada wenyewe wanaomba msaada..!!
Sisi tunapambana na corona kimpango wetu,na nyie endeleeni kuiga mbinu za watu,we unafikiri kuifunga mipaka na kuwafungia watu ndani ndo mtakuwa mmepona na corona,nenda kaulize italy,spain,na hata USA,walifungia watu ndani lakini mdudu anafanya yake kama Kawa,kama dawa
Sisi tunasali,tunaomba,tunanawa mikono,tunapiga kazi..hafungiwi mtu ndani,wala mipaka haifungwi..msitutishe!
Hahahaha. Wololo yaye. 😁😁😀😀Uandishi huu ndo unajivunia nao? a simple correction for u!
Ni jambo (kitu) gani serikali zetu zinaweza kufanya ili kuzuia mamia ya watu kufa (kupoteza maisha) kila siku kwa ajili (kutokana na ugonjwa) Corona? Jana Italy watu 743 walikufa (wamekufa/wamefariki) kwa (ndani ya) masaa 24. Leo spain watu 738 wameaga Dunia kwa (ndani ya) masaa 24. Tutafanya (Tufanye) nini ili kuzuia haya majanga kufika kwetu?
Onyesha makala uliyowahi andika humu!Hahahaha. Wololo yaye. 😁😁😀😀
Sawa professor wa kiswahili. Ila kiingereza chako naweza kukikosoa zaidi ya ulivyofanya kiswahili changu.
Not really
Sijasema hivyo. Nilikuwa nakosoa kauli yako kuwa Corona haitawaathiri waTZ kwa sababu mnaomba Mungu na kuosha mikono. Aisee anzeni kununua ventilators na vitanda vya ICU mapema. Hili jitu halitambui ngozi wala dini ya mtu. Linapita na kila mtu.Nyie wakenya kwa kuwa mmefunga mipaka na kufungia watu ndani corona haitawaathiri,hongereni sana kwa kufanikiwa kupambana na corona.....
Nasemaje hongereni nyie wakenya kwa kufanikiwa kupambana na corona,sisi wabongo mtuache tunataka tuione hiyo corona,maana hii corona imekuwa ni kipimo cha mataifaKuchelewa kuchukua tahadhari ndio imeponza mataifa yote, kuanzia Uchina ilikoanzia mpaka kwenye mataifa ambayo yameanza kuipata. Hiki kitu kinasambaa kwa kasi, kuna wengi wanaumwa ndani kwa ndani na kusambaza bila kujitokeza, wewe jiulize hapo kwenu ambapo Makonda alishukuru Mungu kisa mwanaye Mbowe amepata kirusi, huyo mtoto inasemekana hakutoka nje ya nchi, kaambukizwa na mtu sehemu huko huko ndani, naye kabla kugunduliwa lazima aliambukiza, hivyo mtandao wote unaenea kimya kimya, bila ya kuchukua tahadhari mnaweza mkashtukizwa na jitu lizilo na kichwa wala mkia.
Nimeandika comments takriban elfu nne, sijui unataka gani? Kati ya hizo comments nyingi tu nimeandika kwa lugha ya malkia. Infact Kiswahili nimeanza kukifahamu hapa hapa JF. Kiswahili changu kilikuwa kibovu sana, ila kiingereza changu hakijawahi kuwa na shakaOnyesha makala uliyowahi andika humu!
Kuna nchi yoyote inayoweza kuizidi USA,italy na Germany kwa vitanda vya ICU????lakini mdudu anafanya mambo yake kama kawa, au unadhani nyie wakenya kwa kuwa mna vitanda vingi vya ICU basi ndo mnaweza kupambana na corona??!!..sawa sisi watanzania hatuna vitanda vingi vya ICU kama yalivyo mataifa mengine lakini tupo tayari kupambana kwa hali yoyote ile maana hakuna budi lazima tupambane...msitake tutumie mbinu zenu katika mapambano... hafungiwi mtu hapa!Sijasema hivyo. Nilikuwa nakosoa kauli yako kuwa Corona haitawaathiri waTZ kwa sababu mnaomba Mungu na kuosha mikono. Aisee anzeni kununua ventilators na vitanda vya ICU mapema. Hili jitu halitambui ngozi wala dini ya mtu. Linapita na kila mtu.
kwa hivi post humu ndani huwezi kupima proficiency ya mtu kwenye lugha!Nimeandika comments takriban elfu nne, sijui unataka gani? Kati ya hizo comments nyingi tu nimeandika kwa lugha ya malkia.
Ni vizuri umewacha majivuno. Hili dude linapita na kila mtu. Majivuno tuweke kando tukubali kuwa kila nchi litaathirikaKuna nchi yoyote inayoweza kuizidi USA,italy na Germany kwa vitanda vya ICU????lakini mdudu anafanya mambo yake kama kawa, au unadhani nyie wakenya kwa kuwa mna vitanda vingi vya ICU basi ndo mnaweza kupambana na corona??!!..sawa sisi watanzania hatuna vitanda vingi vya ICU kama yalivyo mataifa mengine lakini tupo tayari kupambana kwa hali yoyote ile maana hakuna budi lazima tupambane...msitake tutumie mbinu zenu katika mapambano... hafungiwi mtu hapa!