Huko Spain watu 738 wameaga dunia kwa masaa ishirini na minne. Wakenya na Watanzania tuwe makini ili majanga haya yasitupate

Una shida gani kwani?.
hata tukianza kufa nani atatuzuia tusife?.
acha kutisha watu corona si ya Africa..
Sisi wenyewe tumejiandaa kivipi kabla kusubiri serikali, nimepiga raundi mtaa kucheck watu walivyojipanga, hali ni kawaida tu watu hawaogopi kukusanyika makundi, subiri tuanguke wachache ndio tutatia akili na kuelewa hiki kitu hakina mzaha.
Mpaka sasa Waafrika hatujafa, hivyo tunasubiri kionyeshe meno na makucha ya kweli kwenye hili bara ndio tutakielewa.
Hehehe!! Nachelea kusema kama rais wa Tanzania, tusitishane, hiki kitu hakina uhatari mkubwa kwa sisi ngozi nyeusi, maana wote walioathirika hadi sasa hakuna aliyekata roho, labda wachache waliokua na mazagazaga yao ya awali, ila omundu strong aliyekula ugali wa Kiafrika bado anapeta tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni latest news. Hata haijakaa dakika ishirini kabla sijawaletea. Hii ni habari fresh hata haijafika CNN bado. Mimi nimeitoa kwa ministry of health ya Spain direct. Sijaribiwi mimi.
Iweke hapa sasa tuone
 
Kwa hiyo kenya wapo vizuri kukabiliana na majanga zaidi ya Spain, Italy na China? Au umejisikia kusifia ujinga!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Waulize hao wanaojilinganisha na Tanzania badala ya kujilinganisha na hizo nchi ulizotaja. Hivi wanafikiria nini kujisifia Wakati idadi ya maambukizi kwao ni zaidi ya mara mbili ya Tanzania?, huo ndio ujinga ndani ya DNA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usitudanganye
Screenshot_20200325-150655_Samsung%20Internet.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tony umepagawa baada ya wazee unao waogesha kuzidi kufa huko ulaya sijui utafanya Nazi gani sasa bora uje bongo tukupe kazi ya kufundisha chekechea ingilishi
Huu si muda wa kufanya masihara. Kama nchi tajiri zinashindwa sisi masikini ndio tutaweza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una shida gani kwani?.
hata tukianza kufa nani atatuzuia tusife?.
acha kutisha watu corona si ya Africa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu wafe tu wametuletea ukimwi na kutunga Sera za kufanya ukimwi uendelee kuua africa kwa kupitia ejioo
Sasa ni zamu yao huu ugonjwa upo kulipa kisasi cha MTU mweusi anaye nyanyaswa na mzungu day to day

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wenyewe tumejiandaa kivipi kabla kusubiri serikali, nimepiga raundi mtaa kucheck watu walivyojipanga, hali ni kawaida tu watu hawaogopi kukusanyika makundi, subiri tuanguke wachache ndio tutatia akili na kuelewa hiki kitu hakina mzaha.
Mpaka sasa Waafrika hatujafa, hivyo tunasubiri kionyeshe meno na makucha ya kweli kwenye hili bara ndio tutakielewa.
Hehehe!! Nachelea kusema kama rais wa Tanzania, tusitishane, hiki kitu hakina uhatari mkubwa kwa sisi ngozi nyeusi, maana wote walioathirika hadi sasa hakuna aliyekata roho, labda wachache waliokua na mazagazaga yao ya awali, ila omundu strong aliyekula ugali wa Kiafrika bado anapeta tu.

Acha kudanganya watu, watu weusi 24 wameshakufa kwa ugonjwa huu hadi sasa:
 
tony umepagawa baada ya wazee unao waogesha kuzidi kufa huko ulaya sijui utafanya Nazi gani sasa bora uje bongo tukupe kazi ya kufundisha chekechea ingilishi

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndugu ulicho-comment sio sahihi kama ni mtu mzima unayejitambua, sio maneno ya kumwambia binadamu yeyote na hasa ndugu yako wa rangi moja. Grow up and be wise!
 
Acha kudanganya watu, watu weusi 24 wameshakufa kwa ugonjwa huu hadi sasa:

24 kwa bara la watu zaidi ya bilioni, hapo juu Spain/Italy mataifa ya milioni kadhaa wanazamishwa kwa maelfu.....hujiulizi kitu?? Halafu hao wana kila teknolojia zaidi yetu wametuacha mbali sana, ila kirusi kimekua sugu kwao.
 
Wazungu wafe tu wametuletea ukimwi na kutunga Sera za kufanya ukimwi uendelee kuua africa kwa kupitia ejioo
Sasa ni zamu yao huu ugonjwa upo kulipa kisasi cha MTU mweusi anaye nyanyaswa na mzungu day to day

Sent using Jamii Forums mobile app

Unatumia simu aliyogundua mzungu lakini unajifanya unajua sana kubeza. Kila kitu kina faida na hasara! Hata kama Ukimwi wameleta wazungu, which is not proven, sawasawa na virusi hivi kuletwa na China au Marekani, bado tunaambukizana sisi wenyewe tena kwa umakusudi. Nimewahi kuambiwa kabisa kuwa kuna mzee kijiji fulani anahonga vibinti kulala navyo kavukavu huku ana Ukimwi, wengine wanasema kabisa mimi siwezi kufa pekeyangu, sasa ni wazungu hao?

Kuna mambo mengi mazuri NGO zinafafhiriwa na wazungu zinafanya. Kuna miradi mingi ya kusaidia yatima, kujenga miradi ya maji, madarasa nk na ni vitu ambavyo serikali zimeshindwa na wazungu wanasaidia. Kuna negatives sikatai lakini there are good white men who are more than friends and love us than our own people and leaders. Grow up and see poaitivity in things!
 
Upo very mature.
 
Back
Top Bottom