Huko TFF Ally Saleh ameliamsha, analalamika TFF inambagua

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Katiba inaruhusu Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar kuwa Spika au Naibu spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano?

Kuna Spika au Naibu spika aliyewahi kutokea Zanzibar?

Huko TFF Ally Saleh ameliamsha, analalamika TFF inambagua katika mchakato wa kumpata Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania
 
Kwasababu hawajawahi kugombea. Wangegombea wazanzibar wenye sifa wangepewa tuu
 
Katiba inaruhusu Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar kuwa Spika au Naibu spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano?
"Zanzibar siyo nchi" by Mizengo Pinda.

Huu ndiyo ukweli japo mchungu. Zanzibar siyo nchi, bali Zanzibar ni sawa na mkoa wa Katavi ama mkoa wa Njombe. Sasa Katavi hawajawahi kutoa Spika na hawalalamiki?
 
Katiba inaruhusu Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar kuwa Spika au Naibu spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano?..
Kwanini hujauliza kwanini hakuna Mtanganyika amewahi kuwa Rais wa zanzibar au kiongozi yeyote wa Zanzibar .Hata kama katiba hairuhusu kwanini huoni huo ni unyonyaji Kwa watanganyika ambao ni wengi zaidi. Huoni kama katiba ina mapungufu irekebishwe. Huo ni Dalili za uMimi . Yaani changu cha wote na Ila chako chakwako tuu.
 
Zanzibar in Rais na wakuu wa mikoa, Katavi haina Rais ni mkoa tu.
"Zanzibar siyo nchi" by Mizengo Pinda.

Huu ndiyo ukweli japo mchungu. Zanzibar siyo nchi, bali Zanzibar ni sawa na mkoa wa Katavi ama mkoa wa Njombe. Sasa Katavi hawajawahi kutoa Spika na hawalalamiki?
 
SPIKA NA NAIBU HUWA WANATONYWA NA MKITI CCM ALIYE MADARAKANI.
SIJAWAHI SIKIA ANACHAGULIWA,BUNGE HUPITISHA TU

ITAKUWA VYEMA ATOKEE ZANZIBAR HUYU JOBO KAVUNJA KATIBA
 
Zanzibar in Rais na wakuu wa mikoa, Katavi haina Rais ni mkoa tu.
Huyo rais wa Zanzibar akija bara anahudhuria kikao cha baraza la mawaziri kama mjumbe tu. Yaani hana tofauti na Dorothy Gwajima.

Neno rais limetumika kama vile ambavyo Madee anajiita rais wa Manzese.
 
Ally Saleh baada ya kuona mamilion ya Azam Media, basi kaanza kutokwa na matemate. Akagombee kwanza ZFA kabla ya kuiwazia TFF.
 
Wanaharamu hawa, wabara wanachomewa biashara zao zenji, hawaruhusiwi kumiliki nyumba wala ardhi, mambo kibao mbona bada hawasemi?
 
kwahiyo mzanzibari kugombea uraisi TFF pia hamutaki? sasa TFF si chama cha mpira cha Jamhuri ya TZ? anzisheni chama cha mpira cha Tanganyika muone kama wazanzibari watasogea, lakini chochote cha Tanzania ni cha wote na huo ndio uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…