system hacker JF-Expert Member Joined Mar 13, 2022 Posts 426 Reaction score 709 Feb 14, 2023 #1 Ndio mwelekeo wa Taifa letu. Nyerere, Mwinyi na Mkapa ndio marais pekee watakaobaki bila kupenda kuwa addressed kama Dr. Njaa ni kali sana na unga hautoshi kila mtu anapambana kujipendekeza.
Ndio mwelekeo wa Taifa letu. Nyerere, Mwinyi na Mkapa ndio marais pekee watakaobaki bila kupenda kuwa addressed kama Dr. Njaa ni kali sana na unga hautoshi kila mtu anapambana kujipendekeza.
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Feb 14, 2023 #2 Kama magufuli na elimu yake mbovu aliweza kua Dr na hapo akawa Raisi wa nchi hi, sasa nani ashindwe kua Dr?
Kama magufuli na elimu yake mbovu aliweza kua Dr na hapo akawa Raisi wa nchi hi, sasa nani ashindwe kua Dr?
system hacker JF-Expert Member Joined Mar 13, 2022 Posts 426 Reaction score 709 Feb 14, 2023 Thread starter #3 Covax said: Kama magufuli na elimu yake mbovu aliweza kua Dr na hapo akawa Raisi wa nchi hi, sasa nani ashindwe kua Dr? Click to expand... Dah....
Covax said: Kama magufuli na elimu yake mbovu aliweza kua Dr na hapo akawa Raisi wa nchi hi, sasa nani ashindwe kua Dr? Click to expand... Dah....
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Feb 14, 2023 #4 Haya mambo ya kupeana udaktari kama kugawiana karanga yameanza lini? dah!
H HIKARI JF-Expert Member Joined Aug 7, 2022 Posts 643 Reaction score 804 Feb 14, 2023 #5 system hacker said: Ndio mwelekeo wa Taifa letu. Nyerere, Mwinyi na Mkapa ndio marais pekee watakaobaki bila kupenda kuwa addressed kama Dr. Njaa ni kali sana na unga hautoshi kila mtu anapambana kujipendekeza. Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
system hacker said: Ndio mwelekeo wa Taifa letu. Nyerere, Mwinyi na Mkapa ndio marais pekee watakaobaki bila kupenda kuwa addressed kama Dr. Njaa ni kali sana na unga hautoshi kila mtu anapambana kujipendekeza. Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Engager JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 1,522 Reaction score 3,255 Feb 14, 2023 #6 Covax said: Kama magufuli na elimu yake mbovu aliweza kua Dr na hapo akawa Raisi wa nchi hi, sasa nani ashindwe kua Dr? Click to expand... Na unaeza kuta hii comment kaandika mtoto wa first year.
Covax said: Kama magufuli na elimu yake mbovu aliweza kua Dr na hapo akawa Raisi wa nchi hi, sasa nani ashindwe kua Dr? Click to expand... Na unaeza kuta hii comment kaandika mtoto wa first year.