Huko tuendako kila Rais nchini Tanzania atakuwa ni "Daktari" atake asitake

system hacker

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2022
Posts
426
Reaction score
709
Ndio mwelekeo wa Taifa letu.

Nyerere, Mwinyi na Mkapa ndio marais pekee watakaobaki bila kupenda kuwa addressed kama Dr.

Njaa ni kali sana na unga hautoshi kila mtu anapambana kujipendekeza.
 
Kama magufuli na elimu yake mbovu aliweza kua Dr na hapo akawa Raisi wa nchi hi, sasa nani ashindwe kua Dr?
 
Haya mambo ya kupeana udaktari kama kugawiana karanga yameanza lini? dah!
 
Ndio mwelekeo wa Taifa letu.

Nyerere, Mwinyi na Mkapa ndio marais pekee watakaobaki bila kupenda kuwa addressed kama Dr.

Njaa ni kali sana na unga hautoshi kila mtu anapambana kujipendekeza.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama magufuli na elimu yake mbovu aliweza kua Dr na hapo akawa Raisi wa nchi hi, sasa nani ashindwe kua Dr?
Na unaeza kuta hii comment kaandika mtoto wa first year.
 
Back
Top Bottom