Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini huwa tunategemea itusaidie kuwa na maadili,Dini haimpeleki mtu mbinguni, wala kuingia mbinguni siyo jambo la kijumuia, kwamba kwakua wewe ni mkristu au mwislamu basi unaingia mbinguni. JIRATIBU
NCHI ZINAZORUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA NI ZA KIKRISTO ?Ndiyo, kuna nchi nyingi za Kikristo barani Ulaya. Baadhi ya nchi hizo ni pamoja na Italia, Ufaransa, Ujerumani, Uhispania, Uingereza, Poland, na nyinginezo. Ulaya imekuwa kitovu cha Ukristo kwa karne nyingi na imeshuhudia maendeleo makubwa ya dini hiyo katika historia yake.
Kwa hisani ya AI
Dini ina kazi nyingi sana ikiwemo kusimamia maadili, Ni sehemu ambayo inaangaliwa zaidi kwenye maadili.UDINI HAUSIANI NA UFALME WA MBINGU.HAKUNA ANAYEKWENDA MBINGUNI KISA YEYE NI MWISILAMU AU MKRISTO.MSAFIRI WA MBINGUNI NI YULE ASHIKIYE AMRI ZA MUNGU NA KUTEMBEA KTK KANUNI ZAKE NA SI VINGENEVYO
Unajua wafia dini kuna kitu hamuelewi!Dini huwa tunategemea itusaidie kuwa na maadili,
Mfano nchi nyingi ulaya hapo kabla hawakuruhusu mapenzi ya jinsia moja ni wachache walikuwa wanajihusisha kwa siri na aibu, Leo hii hali ni tofauti mpaka Papa wa Vatican anaruhusu kubariki mapenzi ya jinsia moja hii ni hatari sana
Mimi mkristo kabisa tena msabato huu ni mjadala general tu, huna haja ya kuwahusisha waislam.Unajua wafia dini kuna kitu hamuelewi!
Mtu kutokuwa mtu wa kidini haina maana kuwa yeye ni mtenda maovu!
Mtu anaweza akawa haendi kanisani wala msikitini na akawa mtenda mema!
Sasa wenzetu mlivyokuwa na akili mbuzi mkisikia mtu siyo wa kidini tayari mnawaza atakuwa mwizi, jambazi shoga n.k
Mimi kuna sehemu yaliibuka mazungumzo ya kidini (wakristo na waislamu wanapigizana makelele, hawa wanasema Dini yao iko sawa, hawa nao wanasema ndiyo wako sawa)
Mimi nikasema nyie wote mnalumbana bure, Mungu hayupo!
Cha kushangaza wote wakanigeukia na kusema nyie ndiyo majambazi wenyewe! Unasema Mungu hayupo?
Nilisikitika sana nikasema bado tuna safari ndefu.
Hapa atakuja kukwambia aliyeruhusu hayo mambo ya jinsia moja si mkristo.NCHI ZINAZORUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA NI ZA KIKRISTO ?
Scandinavian countries nyingi ni nchi za Kikristo na hasa dhehebu la Lutheran.Ndiyo, kuna nchi nyingi za Kikristo barani Ulaya. Baadhi ya nchi hizo ni pamoja na Italia, Ufaransa, Ujerumani, Uhispania, Uingereza, Poland, na nyinginezo. Ulaya imekuwa kitovu cha Ukristo kwa karne nyingi na imeshuhudia maendeleo makubwa ya dini hiyo katika historia yake.
Kwa hisani ya AI
Mpaka hapa sijajua point yako ni ni ipi!Mimi mkristo kabisa tena msabato huu ni mjadala general tu, huna haja ya kuwahusisha waislam.
Hebu naomba unijibu, Nchi kama Italia inaruhusu ushoga na inaruhusu biashara ya kurekodi filamu za X, inapata sifa zipi za kuitwa nchi ya kikritso
Wasabato wabishi sana yaani ulivosema tu msabato basi napita hiviMimi mkristo kabisa tena msabato huu ni mjadala general tu, huna haja ya kuwahusisha waislam.
Hebu naomba unijibu, Nchi kama Italia inaruhusu ushoga na inaruhusu biashara ya kurekodi filamu za X, inapata sifa zipi za kuitwa nchi ya kikritso
NCHI ZINAZORUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA NI ZA KIKRISTO ?Scandinavian countries nyingi ni nchi za Kikristo na hasa dhehebu la Lutheran.
Ni za kiislamu.NCHI ZINAZORUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA NI ZA KIKRISTO ?
Ni za kiislamu.
Kuna nchi yoyote ulaya ya kikristo ?
Nimewahi kufuatilia Italia lakini nikaja kugundua wanaruhusu mahusiano yaliyokatazwa pia wanaruhusu kutengeneza filamu chafu