Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Si kwamba ukiwa mpagani basi wewe ni mwizi, mpenda ngono holela na mambo mengine yasiyofaa, unaweza ukawa mtiifu kuliko shehe au padri kulingana na ulivyojijenga kitabia.Dini huwa tunategemea itusaidie kuwa na maadili,
Mfano nchi nyingi ulaya hapo kabla hawakuruhusu mapenzi ya jinsia moja ni wachache walikuwa wanajihusisha kwa siri na aibu, Leo hii hali ni tofauti mpaka Papa wa Vatican anaruhusu kubariki mapenzi ya jinsia moja hii ni hatari sana