Huko uliko kilo ya maharage ni kiasi gani? Hapa Dar Tsh 3,400

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
2,805
Reaction score
3,640
Leo nilibahatika kununua kg ya maharage ya njano na nimeshangaa sana kuambiwa ni shs 3400 kg moja.

Serikali ijaribu hili la kuangalia bei za vitu zizpande at a skyrocketing rate watu masikini wanaumia sana na watakosa milo iliyokamilika.

Nawasilisha
 
Leo nilibahatika kununua kg ya maharage ya njano na nimeshangaa sana kuambiwa ni shs 3400 kg moja.

Serikali ijaribu hili la kuangalia bei za vitu zizpande at a skyrocketing rate watu masikini wanaumia sana na watakosa milo iliyokamilika. Nawasilisha
2800 Tanga
 
Tanzania hakuna maskini wewe, hao unaoita maskini hupigana kununua jezi za Simba na Yanga.
 
Sisi hatununui tunachota tuliyolima kwahiyo bei hatuijui, bei kubwa faida kwa mkulima
 
Mada za msosi zimetamalaki sana jamvini. Hii inaonesha jinsi mibongo tunavyopenda na kuendekeza kulakula hovyohovyo.
 
Back
Top Bottom