Huko uliko kilo ya maharage ni kiasi gani? Hapa Dar Tsh 3,400

Leo nilibahatika kununua kg ya maharage ya njano na nimeshangaa sana kuambiwa ni shs 3400 kg moja.

Serikali ijaribu hili la kuangalia bei za vitu zizpande at a skyrocketing rate watu masikini wanaumia sana na watakosa milo iliyokamilika.

Nawasilisha
Tena kwenu hiyo bado ni ndogo inatakiwa ianzie 6,000 kupanda juu labd ndipo mtasikia maumivu, simnajifanya mnazo.
 
Leo nilibahatika kununua kg ya maharage ya njano na nimeshangaa sana kuambiwa ni shs 3400 kg moja.

Serikali ijaribu hili la kuangalia bei za vitu zizpande at a skyrocketing rate watu masikini wanaumia sana na watakosa milo iliyokamilika.

Nawasilisha
soko lipi?
 
Nyama kawaida inafika elfu kumi stake elfu 13, samaki kilo elfu 12. Mchele mzuri unaanzia 2600 mpaka 3500.
Madelu tafadhali do your job dr.kwa ground prices are very high
 
Back
Top Bottom