Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 18,069 Reaction score 25,172 Mar 3, 2026 #1 Nimefuatilia kura nyingi za Umoja wa mataifa, kwa asilimia kama 80 ya kura zote, Tanzania huwa ni "abstention" tu, yaani hawapingi wala hawakubali; wapo wapo tu! Hata kura ya busara ya kuunga mkono amani huko Ukraine wao wanasema, hatuna la kusema.
Nimefuatilia kura nyingi za Umoja wa mataifa, kwa asilimia kama 80 ya kura zote, Tanzania huwa ni "abstention" tu, yaani hawapingi wala hawakubali; wapo wapo tu! Hata kura ya busara ya kuunga mkono amani huko Ukraine wao wanasema, hatuna la kusema.
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,297 Reaction score 18,156 Mar 3, 2026 #2 kwenye vitu vichache vya kuiunga mkono serikali jambo hilo ni miongoni