debrakabra
Member
- Jun 1, 2015
- 88
- 30
Mechi imekwisha huko Zanzibar, na Simba kujinyakulia ushindi mnono wa goli 5 vs Gulion Fc 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli Simba imebidi ijipe moyo,Baada ya kuona forward ina ukame wa magoal katika mechi zote za majaribio Simba wameamua kuchukua timu ya wafanya biashara wa gulioni ili waifunge magoal mengi kujipa moyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kocha wa mpira kasema hivyo basi inawezekana ikawa kweli.Pre season unaanza na timu ndogo kwenda juu ...Simba hawana fitness Coach wa mlandege kasema tofauti aliyoiona na Yanga..camp south kulikuwa na baridi Kali wachezaji walienda vacation na shopping
Hahahahaaa! Najua imekuumiza sana ji-roho lako. Hivi unajua hii dozi hata Vyura fc waliipata hadi wakatabasamu kwa huzuni. Unawafahamu Vyuuuuuraaaa!!?Timu hata haijulikani wala haishiriki hata ligi kuu Zanzibar. Simba bhana!!
Hao Bocco na Mavugo bora muuze tu mnunue hata Mafuta ya MO ya kupikia.
JPM KAMATA WEZI