Huko Zimbabwe kuna kijana amegundua gari lisilotumia umeme, mafuta au nishati yoyote kutoka nje. Inawezekana vipi?

Huyu Genius wa kuzaliwa, mwaka 2008 alifanya ugunduzi wake mwenyewe, kuweza kubadilisha mawimbi ya radio na kua umeme .

Born, Sangulani Maxwell Chikumbutso (1980-11-10) November 10, 1980 (age 44).

Hata magari ya umeme tu vita yake ni kubwa kuliko cartels. Dangote alisema vita ya oil refinery ni kubwa kuliko vita ya madawa. He should brace himself.
 
Hivi hili si tulishaliongelea humu na uwezekano mkubwa kwamba jamaa ni Scam Artist ?

Ila ndio hivyo binadamu we never ask why and using logic is beyond us; anyway jiulize since then kwanini bado product hazipo sokoni ?

Physician, heal thyself; Yaani na kuhangaika na mgao na Matatizo ya Nishati huko nchini kwake kwanini asianze kuwasaidia wao huko kabla ya kuanza kuhangaika na kuhaha kwa kina Tesla ?
 
Maw Mawimbi ya redio hayabebi nishati ya kutosha kuendesha gari na ndio maana hata website ya rais wa Zimbabwe imefuta video za rais akiwa na bwana Maxwell maana ni tapeli
 
Jamaa ni tapeli
 
those corrupt politicians will rat this poor boy to the capitalists!!!
 
Jamaa ni tapeli
Ila watu yaani wanapenda kuamini amini tu kila kitu, sisemi kwamba watu wapinge kila kitu ila inquisitive minds ni kuangalia how na hata wasipojua how basi hata wachanganye na za kwao na ukimix na logic utaona kwamba hapa kuna walakini..., Ni sawa na mtu anakufa kwa kiu alafu anasema anauza dawa ya kutengeneza maji

By the way huenda sio Tapeli per se hata mimi kuna kipindi nilikuwa nina idea kubwa kubwa za kuweza kutengeza hiki na kile (free energy) perpetual machines n.k. nikaja kugundua kwamba hata nikipata kitu kama hicho kitakuwa ni battery na sio free energy...
 
Waafrika kutulisha matangopori ni kazi rahisi sana
 
Huenda jamaa ni miongoni mwawanafunzi wa shule ya ariel waliotembelewa na ufo miaka ya nyuma.
Sasa anangoja nini kufanya badala ya kupiga brah brah brah miaka nenda miaka rudi...; Sometimes let the doing do the talking..., talking zikiwa nyingi tambua hapo kuna walakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…