Huku balaa jamani, nimemwambia napenda mwanamke mweupe, ww hapana.. nimemuumizaa..daah

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
18,042
Reaction score
19,787
Jamani, jamani... habari za weekend..!!

Yamenikuta, kuna mrembo mmoja mkali sanaaa... mweusii, kaumbika boom boom... bang bang, kabang kabang kweli... mweusii, aged 29 hv... i know her kwa miaka kama 6 hv..!!

Sasa, kumbee, i was not much into her, kumbe yeye kafa kaoza, but i was just taking her kama rafiki tu.. nachat nae kwa sms, few days in a week ananipigia labda mara moja kwa wiki..!!
Mara kuna siku akaniambia naringa sana tu, nikamwambia kwann.? akasema ulivyo HB unaona kama wanawake hawana maana vile.. nikamwambia mawazo yako tu..!!
Jana, saa 4 asubuhi, kanikomalia kweli anataka niwe mpenzi wake... nikamwambia duuh hilo mm siwezi, nina mchumba..

Akaniambia ww mwanaume nakujua miaka huna mwanamke, ningemuona ktk mitandao yako, ila sijawahi ona.. basi, ikaeenda, akakomaa... akaniambia kuwa kwnn simpendi..?

Nikampa live, sikia bibie, mm napenda mwanamke mweupee, au halfcast kama mm, awe mrefu kama mm au wastani hv, na ana ta.ko lazima kajazia hv au sana.. na tayari niko na mtu wa hivyo.. ndio sijamweka wazi.. ila ndio mchumba wangu.. mm sipendi mwanamke mweusi bana..!! Niseme kweli, sipendi mweusi, na sijawahi kukutongoza jamani..

Akasema ni mwanamke yupi huyo..? nikampa jina na FB account yake, akaamini... akaniona niko nae huyo mdada..!! na kwangu anakuja, na some pics kapigia home kwangu tukiwa wote many times and different places za matanuzi weekend baada ya kazi za wiki kutuliza mawazo..

Sasa, wee kanifungia kila mtandao.. akanitumie sms ya mwisho USINITAFUTE MM SINTAKUTAFUTA TENA MAISHANI...!! Umeniumiza sana..!!

Jamani, hivi ukisema kweli kumbe ni shida hivi..!!

Safari njemaa black beauty R......e..!! Maisha mema nakutakia, utampata tu mwanaume mwingine..!! Mimi nina mchumba tayari..

Weekend njemaaaa..!!

Mkuu hio vita haijaisha hapo jiandae, mawili yanaweza kujitokeza
1. atajitathimini na kurekebisha yale ambayo wewe umeyaona mapungufu, anaweza kutumia dawa akawa mweupee kama Ray kigosi kisha akarudi kukutafuta kwa mwendo wa kasi
2. atakushambulia kwenye mitandao na kumshambulia mpenzi wako kwa mashambulizi ya kufa mtu.
kitendo ulichofanya cha kumpa id account ya mchumba wako umefanya kosa kubwa sana. Jiandae
 
Hili tangazo kua wewe ni mrefu na halfcast bila picha nani ataamini?, nani ananunua mbuzi kwenye gunia siku hizi?, ushauri jipange uje kivingine!
 
Wanaume hatupo hvo mkuu... ungebak nayo moyon tu kama u had. 6 years ya friendship atlist u cud respect that

I know, i did mistake aisee...!! Ila nilisema kwa upoleee sana, it was in silent tone... yaani alinibana akaniambia nitajie sifa ambazo yeye hana, mm nikamwambia una sifa zote sana tu... akanibana sana, imagine tokea saa 4 tunachat jana hadi 10 jioni hv...niko busy but na reply texts zake... ndio saa 9 mchana kufika home nikampigia.. tukaongeaa weee, sbb mm na yeye ni watu wazima sasa, ikabidi tu nimpe live bana, asije nitegemea mm, wakati nina mtu...!! sasa katika maongezi, ndio nikamwambia mm nampenda demu wa aina gani, nikamtajia mweupeeee...!! Imekuwa shidaaaa...!! mmmhh
 
Hili tangazo kua wewe ni mrefu na halfcast bila picha nani ataamini?, nani ananunua mbuzi kwenye gunia siku hizi?, ushauri jipange uje kivingine!

Ananijua huyoo... R.....e.. siongei na mtu wa mtandaoni.. ni mwanamke tunajuana miaka.. umeelewa.? Namjua for 6 yrs na yeye ananijua kila kitu
 
bora ameumia lakini umemwambia ukweli kuliko angefurahi kumbe wewe unamdanganya
 
Hana tabia hizo za kushambuliana ktk mitandao... she is cool in nature..!!

Nikampa live, sikia bibie, mm napenda mwanamke mweupee, au halfcast kama mm, awe mrefu kama mm au wastani hv, na ana ta.ko lazima kajazia hv au sana.. na tayari niko na mtu wa hivyo.. ndio sijamweka wazi.. ila ndio mchumba wangu.. mm sipendi mwanamke mweusi bana..!! Niseme kweli, sipendi mweusi, na sijawahi kukutongoza jamani..

Akasema ni mwanamke yupi huyo..? nikampa jina na FB account yake, akaamini... akaniona niko nae huyo mdada..!! na kwangu anakuja, na some pics kapigia home kwangu tukiwa wote many times and different places za matanuzi weekend baada ya kazi za wiki kutuliza mawazo..

Sasa, wee kanifungia kila mtandao.. akanitumie sms ya mwisho USINITAFUTE MM SINTAKUTAFUTA TENA MAISHANI...!! Umeniumiza sana..!!

Jamani, hivi ukisema kweli kumbe ni shida hivi..!!

Safari njemaa black beauty R......e..!! Maisha mema nakutakia, utampata tu mwanaume mwingine..!! Mimi nina mchumba tayari..

Weekend njemaaaa..!!

[/QUOTE]
sawa halfcast
 
huu ni ubaguzi pia ni uchochezi dhidi ya watu weusi
 
Weusi wataolewa na weusi wenzao .. Hali kadhalika na weupe wataolewa na wenzao...at the end of the day what matters is " Inner beauty"
 
bora ameumia lakini umemwambia ukweli kuliko angefurahi kumbe wewe unamdanganya
Mwanamke ni bora ya kumdanganya akafurahi na si kumpa ukweli akaumia, ni kiumbe dhaifu sana
 
Silent tone ni nzito sana. Kuliko kupayuka.

Ulipaswa kumuonyesha mpenzi wako. Na sio kuanza kutaja sifa za mwanamke umpendaye.

Wanawake wengine akili fupi. Si ajabu Kesho utamuona kashaanza kujklichubua ngozi ili apendwe.

Hupaswi kumfanya mtu ajione kilema. Na ndicho umekuleta humu ndani. sijui weupe, sijui ta.ko
Anyway.. To break someone heart honestly is best
 
Mwanamke ni bora ya kumdanganya akafurahi na si kumpa ukweli akaumia, ni kiumbe dhaifu sana

Duuuh.. kwa hiyo unaweza mdanganya una mpenda na kuwa anataka mahusiano na ww wakati humpendi..? Can you do that..? How..? Siwezi aisee... acha tu niseme kweli... potelea pote, ili mradi atajua ukweli afanye yake....
 
Wanaume hatupo hvo mkuu... ungebak nayo moyon tu kama u had. 6 years ya friendship atlist u cud respect that
Ndo ujue kuna tofauti kati ya mwanaume na mvulana.
Mtu wa hvyo hata siku akioa still atamsemesha mke wake maneno ya hovyo
 
Very true...!!
Fanya kinyume chake
Yy ndo angekwambia hapendi mtu mweupe km papai bichi,mrefu km mkojo,mwembamba km fito.je ungejisikiaje? Uwe unatafakari neno kabla hujalitoa kinywani mwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…