Huku balaa jamani, nimemwambia napenda mwanamke mweupe, ww hapana.. nimemuumizaa..daah

Huku balaa jamani, nimemwambia napenda mwanamke mweupe, ww hapana.. nimemuumizaa..daah

Watu neo man fan tags wengi wajiue kwa maneno yenu! Ungetumia hekima kusema ukweli. Kwa tafsiri ya kawaida ni umemwambia hapendwi kwa sababu ni mweusi. Umempa makavu sana na si vizuri!
 
Fanya kinyume chake
Yy ndo angekwambia hapendi mtu mweupe km papai bichi,mrefu km mkojo,mwembamba km fito.je ungejisikiaje? Uwe unatafakari neno kabla hujalitoa kinywani mwako

Yaani nyie wanawake basi tu.. mkikosewa kidogo hasa kuhusu urembo wenu.. mna hasira sana... hamtaki kusikia MM SIKUTAKI BANA... hilo neno kwenu baya sana..
 
Ndo ujue kuna tofauti kati ya mwanaume na mvulana.
Mtu wa hvyo hata siku akioa still atamsemesha mke wake maneno ya hovyo

Ww utakuwa unapenda KUDANGANYWA... truth will set you free..!! Bakia kudanganywa..
 
Back
Top Bottom