Watu neo man fan tags wengi wajiue kwa maneno yenu! Ungetumia hekima kusema ukweli. Kwa tafsiri ya kawaida ni umemwambia hapendwi kwa sababu ni mweusi. Umempa makavu sana na si vizuri!
Fanya kinyume chake
Yy ndo angekwambia hapendi mtu mweupe km papai bichi,mrefu km mkojo,mwembamba km fito.je ungejisikiaje? Uwe unatafakari neno kabla hujalitoa kinywani mwako
Yaani nyie wanawake basi tu.. mkikosewa kidogo hasa kuhusu urembo wenu.. mna hasira sana... hamtaki kusikia MM SIKUTAKI BANA... hilo neno kwenu baya sana..