Pre GE2025 Huku chawa, kule wadudu

Pre GE2025 Huku chawa, kule wadudu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Nchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia kuitwa wadudu, dah! Tutafika tumechoka sana. Huku chawa kule wadudu.
 
HAKUNA WATU WAPUUZI NCHI HII KM WALIMU NA BODABODA
 
Nchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia kuitwa wadudu, dah! Tutafika tumechoka sana. Huku chawa kule wadudu.
Wadudu sio bodaboda

hayo ni makundi mawili tofauti
 
Nchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia kuitwa wadudu, dah! Tutafika tumechoka sana. Huku chawa kule wadudu.
Hahaahaha wadudu kweli ndiyo maana hata akili zao zipo kama wadudu siku zote utaishi kama ulivyojitamkia
 
Hehe ila si walisema wadudu watampa wakati mgumu Makonda, cha ajabu yamekua mengine
 
Nchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia kuitwa wadudu, dah! Tutafika tumechoka sana. Huku chawa kule wadudu.
Kwanza we siyo raia wa nchi hii rudi kwenu
 
Tumefika sehemu ya kuwa taifa la ajabu na la kutia aibu. Hao wadudu wanapata wasaa wakupita mbele ya halaiki kama wageni rasmi kwenye maonyesho ya siku ya wafanyakazi. Tunapoelekea ni kubaya sana
Huko mtaani wanakaba watu na kuua kwa visu halafu et wanarasimishwa! Wanakufa kwa kukimbia na pikipiki kama kuku!
Masikini Tanzania.
 
Chawa ni Wadudu kwani kuna tofauti gani,wadudu ni chawa pia wacha tuone mambo mwaka huu
 
Back
Top Bottom