Pre GE2025 Huku chawa, kule wadudu

Pre GE2025 Huku chawa, kule wadudu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia kuitwa wadudu, dah! Tutafika tumechoka sana. Huku chawa kule wadudu.
Ahsante kwa kuliona hili.
 
Hehe ila si walisema wadudu watampa wakati mgumu Makonda, cha ajabu yamekua mengine
Wadudu hawawezi pambana na dola. Kwanza ni vijana wadogo ambao hata raia wa kawaida tu wanaweza kuwadhibiti.
 
Nchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia kuitwa wadudu, dah! Tutafika tumechoka sana. Huku chawa kule wadudu.
Nchi ngumu hii balaaa
 
Wadudu hawawezi pambana na dola. Kwanza ni vijana wadogo ambao hata raia wa kawaida tu wanaweza kuwadhibiti.
Mbona kuna yule mdudu walimshindwa alifanya watu wakalale saa 12 jioni
 
Wadudu ni Brand tu....
Kumbuka waliopita hapo ni binadamu kama wewe.

Tumefika sehemu ya kuwa taifa la ajabu na la kutia aibu. Hao wadudu wanapata wasaa wakupita mbele ya halaiki kama wageni rasmi kwenye maonyesho ya siku ya wafanyakazi. Tunapoelekea ni kubaya sana
 
Nchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia kuitwa wadudu, dah! Tutafika tumechoka sana. Huku chawa kule wadudu.
Hizo ni dalili za kutapatapa; ni jambo jema kwetu sote tunaotaka mabadiliko. Usitishike.
 
Back
Top Bottom