Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Wanafuata polisiHAKUNA WATU WAPUUZI NCHI HII KM WALIMU NA BODABODA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafuata polisiHAKUNA WATU WAPUUZI NCHI HII KM WALIMU NA BODABODA
Ahsante kwa kuliona hili.Nchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia kuitwa wadudu, dah! Tutafika tumechoka sana. Huku chawa kule wadudu.
Wadudu hawawezi pambana na dola. Kwanza ni vijana wadogo ambao hata raia wa kawaida tu wanaweza kuwadhibiti.Hehe ila si walisema wadudu watampa wakati mgumu Makonda, cha ajabu yamekua mengine
Wataibuka wengine wakujiita minyooChawa ni Wadudu kwani kuna tofauti gani,wadudu ni chawa pia wacha tuone mambo mwaka huu
Nchi ngumu hii balaaaNchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia kuitwa wadudu, dah! Tutafika tumechoka sana. Huku chawa kule wadudu.
Mbona kuna yule mdudu walimshindwa alifanya watu wakalale saa 12 jioniWadudu hawawezi pambana na dola. Kwanza ni vijana wadogo ambao hata raia wa kawaida tu wanaweza kuwadhibiti.
Tumefika sehemu ya kuwa taifa la ajabu na la kutia aibu. Hao wadudu wanapata wasaa wakupita mbele ya halaiki kama wageni rasmi kwenye maonyesho ya siku ya wafanyakazi. Tunapoelekea ni kubaya sana
Hawa wadudu wanavuta bange?Hahaahaha wadudu kweli ndiyo maana hata akili zao zipo kama wadudu siku zote utaishi kama ulivyojitamkia
Je bange imehalalishwa?Wataibuka wengine wakujiita minyoo
Hizo ni dalili za kutapatapa; ni jambo jema kwetu sote tunaotaka mabadiliko. Usitishike.Nchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia kuitwa wadudu, dah! Tutafika tumechoka sana. Huku chawa kule wadudu.
Bangi halali kitambo. Huwezi zuia bangi huku unavuta ushuru wa Lizla.Je bange imehalalishwa?
Aisee sijui.Je bange imehalalishwa?