Huku Diamond na wenzake, kule Reginald Mengi na wenzake!

Too much words for nothing.wasanii na mashabiki ni vitu vinantegemeana,binafsi sikatai kazi yao bali inakwaza tu.if they were to sing wangeimba ila utumwa walionao instagram ni unacceptable.
 
chige una akili kubwa sana,sasa unapobishana na akili ndogo lazima utaumiza kichwa
 
Last edited by a moderator:
Mods wako wap jamani ujinga kama huuuuuu wa nn hapa?
 
chige una akili kubwa sana,sasa unapobishana na akili ndogo lazima utaumiza kichwa
Mkuu IFRS hawa watu mie wananifurahisha sana... halafu inaelekea wala hawajui kwamba kumbe hata JF nao wamechukua chao na bango la CCM linaendelea kutamalaki kama kawa halafu wanawataka akina Diamond ndo wawe wazalendo kwa kigezo cha kuwa na mashabiki wa itikadi mbalimbali utadhani hapa JF wote wana itikadi moja!! Nadhani na hii post watai-delete manake mara ya kwanza niloposema hata JF wamechukua chao waka-delete!!!
 
Hahahahaaaa! JF wame-delete post kwavile nimewaambia na wao ni wasaliti wa mabadiliko!!!!

wewe ni kijana mwerevu sana, huwa unaandika mambo yanayoeleweka basi tu baadhi ya watu ni wakaidi, unajua nini kuna baadhi ya watu kiukweli wanatamani wawe Mungu japo kwa sekunde moja tu ili tu wamporomoshe diamond, yaani ndio roho zao zitatulia, kwa vile uwezo huo hawana ndio maana wanatumia nguvu zao zote kukigeuza kila asemacho au afanyacho diamond kuonekana kibaya tuuuuuu.
 

upo sahihi kupita maelezo, wamerusha hayo matangazo kwa vile wamelipwa mpunga mrefu, na si kwa mahaba niuwe wakarusha bure, sasa why are you people mad at diamond kuipigia kampeni ccm for money?? umeambiwa kilichompeleka jagwani ni mahaba niuwe??? au zile post anazorusha IG is for free?? kama mengi na wengineo wamechukuwa fursa ccm wakaingiza pesa? why diamond akatae au mnataka mwenzenu afe njaa kwa kisingizio cha uzalendo ambao nausikiaga tu sijawahi kuuona popote? wachambeni wa ITV, wasusieni kazi zao, block ITV isionekane kwenye runinga yako, msinunue magazeti yao maji yao soda zao kwa sababu hata wao ni wasaliti wa mabadiliko, acheni kumuonea diamond.
 
Paula, yaani sie watu tuna matatizo sana... we love to preach what we don't and will never practice! The way watu wanavyoongea unaweza kudhani wangekua wao wangekataa! Wanachukulia kila kitu too personal! Na wale wasiompenda Diamond tangu hapo inakuwa ndo kama wamepatia sababu huku ramli za downfall yake zikizidi kupigwa... zaidi ya mwaka sasa ramli zinapigwa lakini ndo kwanza jamaa anazidi anaendelea ku-shine!!
 
Wachawi wamepata sababu ya kumchukia jamaa hawa ndo walewale wanaompinga diamond ktk mishe zingine. Vijana wa kileo wana mawazo mgando sana sijui wana matatizo gani.
 
Wachawi wamepata sababu ya kumchukia jamaa hawa ndo walewale wanaompinga diamond ktk mishe zingine. Vijana wa kileo wana mawazo mgando sana sijui wana matatizo gani.
 
UKAWA bana,ningumu sana kuwaelewa hawa jamaa kwa sababu simply wanaongozwa na UBINAFSI basi!
 

Muktadha ni biashara na sio personalities.wote wanafanyabiashara,japo za aina tofauti,why MENGI NI SAWA KUITANGAZA CCM NA KUPATA PESA NA DIAMOND SIO SAWA?
 
Wewe ni GT👏👏
 

Una akili nyingi sna hongera
 
Nimesoma, nikarudia tena lakini sijaelewa ulichoandika. Kama wewe umesoma chuo basi Tanzania kazi tunayo..
 
umenena hadi raha

Diamond ni hakunaga yaani wanateseka roho zao kisa yeye na kumuombea mabaya yanayowarudia maana yeye yupo na usafi wake rohoni.

sina la zaidi wenye wivu waji.yonge
 
Kuna wakati Mwanasheria mkuu wa CDM wakati huo alikua wakili wa mafisadi wa EPA tena ni makada wa CCM
Watu walipohoji wakaambiwa ile ni taaluma yake so asiingiliwe kwenye kazi za taaluma yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…