The Shah of Tanganyika
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 602
- 1,572
Watatukomfyuzi hawa kwenye vichwa vya habariWataandika " Slaaa awaponda wanaopinga DPW, awapa makavu. Asisitiza serikali isirudi nyuma"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm walichowafanyia watz , Mungu ameondoa Kibali juu yaoBadala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Slaa kuvuruga malengo ya hoja husika.
Jerry Slaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa.
Headline za magazeti pamoja na zile akaunti za kwenye mitandao zenye mlengo wa kiushabiki wa CCM zitaandika utumbo wa Jerry Slaa na kumhamishia Mh. Balozi Dr. W. Slaa.
Niseme wazi tu kuwa huku ni kuendelea kuwachezea watanzania na kuwahadaa kwa kutumia vioja na njama za kipuuzi kabisa.
CCM imechoka kuongoza. Ipumzishwe kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Jerry Slaa ni tofauti kabisa na Dr Wilbroad Slaa. Na Jerry Slaa ameongea hoja nzito, tatizo mnaichukia CCM halafu chuki yenu inaishia humu humu mitandaoni hao mnaowachukia ndio watekelezaji wakubwa wa siasa za nchi.Badala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Slaa kuvuruga malengo ya hoja husika.
Jerry Slaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa.
Headline za magazeti pamoja na zile akaunti za kwenye mitandao zenye mlengo wa kiushabiki wa CCM zitaandika utumbo wa Jerry Slaa na kumhamishia Mh. Balozi Dr. W. Slaa.
Niseme wazi tu kuwa huku ni kuendelea kuwachezea watanzania na kuwahadaa kwa kutumia vioja na njama za kipuuzi kabisa.
CCM imechoka kuongoza. Ipumzishwe kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Haijawasaidia. Mtanzania wa Sasa akiona kichwa cha habari kina utata anaingia kwenye habari ili kama ni Dr Slaa kweli aanze naye hapo anakuta ni Silaa aliyeokota Ubunge.Badala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Slaa kuvuruga malengo ya hoja husika.
Jerry Slaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa.
Headline za magazeti pamoja na zile akaunti za kwenye mitandao zenye mlengo wa kiushabiki wa CCM zitaandika utumbo wa Jerry Slaa na kumhamishia Mh. Balozi Dr. W. Slaa.
Niseme wazi tu kuwa huku ni kuendelea kuwachezea watanzania na kuwahadaa kwa kutumia vioja na njama za kipuuzi kabisa.
CCM imechoka kuongoza. Ipumzishwe kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Hii serikali ina mambo ya kipumbavu sanaBadala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Slaa kuvuruga malengo ya hoja husika.
Jerry Slaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa.
Headline za magazeti pamoja na zile akaunti za kwenye mitandao zenye mlengo wa kiushabiki wa CCM zitaandika utumbo wa Jerry Slaa na kumhamishia Mh. Balozi Dr. W. Slaa.
Niseme wazi tu kuwa huku ni kuendelea kuwachezea watanzania na kuwahadaa kwa kutumia vioja na njama za kipuuzi kabisa.
CCM imechoka kuongoza. Ipumzishwe kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Umekosea majina hapo Kuna Dr. Wilbroad Slaa na huyo mwingine ni Jerry SilaaBadala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Slaa kuvuruga malengo ya hoja husika.
Jerry Slaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa.
Headline za magazeti pamoja na zile akaunti za kwenye mitandao zenye mlengo wa kiushabiki wa CCM zitaandika utumbo wa Jerry Slaa na kumhamishia Mh. Balozi Dr. W. Slaa.
Niseme wazi tu kuwa huku ni kuendelea kuwachezea watanzania na kuwahadaa kwa kutumia vioja na njama za kipuuzi kabisa.
CCM imechoka kuongoza. Ipumzishwe kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
CdmUmekosea majina hapo Kuna Dr. Wilbroad Slaa na huyo mwingine ni Jerry Silaa
Jerry Slaa ni tofauti kabisa na Dr Wilbroad Slaa. Na Jerry Slaa ameongea hoja nzito, tatizo mnaichukia CCM halafu chuki yenu inaishia humu humu mitandaoni hao mnaowachukia ndio watekelezaji wakubwa wa siasa za nchi.
Ndio wapo karibu na watu kuanzia juu mpaka chini huko mtaani, nyinyi wasomi mnaishia kusema CCM imechoka lakini hamuonyeshi kwa vitendo huko kuchokwa kwao kupo vipi.
Zinakuwa ni mbwembwe za malalamiko ya facebook na JF na sio zaidi ya hapo.
Kila aliyepokea mgao anatakiwa kuongea kidogo ili mwarabu afurahiBadala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Slaa kuvuruga malengo ya hoja husika.
Jerry Slaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa.
Headline za magazeti pamoja na zile akaunti za kwenye mitandao zenye mlengo wa kiushabiki wa CCM zitaandika utumbo wa Jerry Slaa na kumhamishia Mh. Balozi Dr. W. Slaa.
Niseme wazi tu kuwa huku ni kuendelea kuwachezea watanzania na kuwahadaa kwa kutumia vioja na njama za kipuuzi kabisa.
CCM imechoka kuongoza. Ipumzishwe kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Pesa ya covid umeichanganya na mambo ya bandari!. Mkuu Nangu kunywa maji kwanza utulie ndio uje na hoja tena iwe fupi kwa faida yangu na ya msomaji mwingine.kubinafsisha bandari kwa sababu za kitoto eti ufanisi mdogo tayari hiyo ni dalili kuwa CCM imechoka, inashindwa hata kupata watu katika watanzania 60mil kuendesha bandari kwa ufanisi.
Kutegemea hela za Covid kujenga madarasa huku tuna bahari, madini na mbuga za wanyama ni dalili tosha kwa CCM kuchoka.
Kutumia misaada ya wahisani kujenga matundu ya choo nayo ni dalili tosha ya kuchoka, kujengewa barabara kwa hisani ya watu wa USA huku tukiwa na kila kitu nayo ni dalili ya kuchoka.
Kushindwa kusimamia mashirika kama ATCL, UDART, TANAPA, TTCL nk yakaleta utajiri na watanzania kunemeeka, nayo ni dalili tosha ya kuchoka kwa CCM.
Kutokuwa na tume huru ya uchaguzi, na kufanya chaguzi za vurugu nayo ni dalili tosha ya kuchoka na kuogopa wananchi.
Hakuna strong point yeyote aliyoongea Jerry Slaa zaidi ya maneno tu ambayo mtu yeyote anayeweza kuondoa, anapaswa kuja na strong point kutetea maamuzi ya serikali na kuwaonyesha watanzania usahihi wa kinachopingwa.
Cdm inaingiaje hapo wakati mmoja ccm mwingine Hana chama
SureUmekosea majina hapo Kuna Dr. Wilbroad Slaa na huyo mwingine ni Jerry Silaa
CCM ni kusanyiko la matapeli tupukubinafsisha bandari kwa sababu za kitoto eti ufanisi mdogo tayari hiyo ni dalili kuwa CCM imechoka, inashindwa hata kupata watu katika watanzania 60mil kuendesha bandari kwa ufanisi.
Kutegemea hela za Covid kujenga madarasa huku tuna bahari, madini na mbuga za wanyama ni dalili tosha kwa CCM kuchoka.
Kutumia misaada ya wahisani kujenga matundu ya choo nayo ni dalili tosha ya kuchoka, kujengewa barabara kwa hisani ya watu wa USA huku tukiwa na kila kitu nayo ni dalili ya kuchoka.
Kushindwa kusimamia mashirika kama ATCL, UDART, TANAPA, TTCL nk yakaleta utajiri na watanzania kunemeeka, nayo ni dalili tosha ya kuchoka kwa CCM.
Kutokuwa na tume huru ya uchaguzi, na kufanya chaguzi za vurugu nayo ni dalili tosha ya kuchoka na kuogopa wananchi.
Hakuna strong point yeyote aliyoongea Jerry Slaa zaidi ya maneno tu ambayo mtu yeyote anayeweza kuondoa, anapaswa kuja na strong point kutetea maamuzi ya serikali na kuwaonyesha watanzania usahihi wa kinachopingwa.
Hatari sn na aibu kwa CCMHaijawasaidia. Mtanzania wa Sasa akiona kichwa cha habari kina utata anaingia kwenye habari ili kama ni Dr Slaa kweli aanze naye hapo anakuta ni Silaa aliyeokota Ubunge.
Labda UhuruWataandika " Slaaa awaponda wanaopinga DPW, awapa makavu. Asisitiza serikali isirudi nyuma"
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ya covid umeichanganya na mambo ya bandari!. Mkuu Nangu kunywa maji kwanza utulie ndio uje na hoja tena iwe fupi kwa faida yangu na ya msomaji mwingine.