The Shah of Tanganyika
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 602
- 1,572
- Thread starter
- #21
CCM ni wezi wa kura.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuongoza nchi sio sawa na maongezi ya kwenye vikao vya kwenye vijiwe vya kahawa. Kuongoza nchi ni ubunifu wa hali ya juu.Hapana nimemaanisha kukuonyesha namna gani CCM ilivyochoka kufikiri, mpaka inategemea hela za Covid kujenga madarasa.
Kuchoka huko ndio kumefanya tushindwe kufikiri namna bora ya kuisimamia na kuirun bandari ikaleta tija na matokeoa chanya kwa raia baadala yake tunafikiria kirahisi na kwenda kubinafsisha.
Hii ID imekuja hivi juzi tu maalum kuwasaidia kina denooJ kwenye issue ya bandari.Badala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Slaa kuvuruga malengo ya hoja husika.
Jerry Slaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa.
Headline za magazeti pamoja na zile akaunti za kwenye mitandao zenye mlengo wa kiushabiki wa CCM zitaandika utumbo wa Jerry Slaa na kumhamishia Mh. Balozi Dr. W. Slaa.
Niseme wazi tu kuwa huku ni kuendelea kuwachezea watanzania na kuwahadaa kwa kutumia vioja na njama za kipuuzi kabisa.
CCM imechoka kuongoza. Ipumzishwe kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Sijui wanapata faida ganiJerry Slaa ni tofauti kabisa na Dr Wilbroad Slaa. Na Jerry Slaa ameongea hoja nzito, tatizo mnaichukia CCM halafu chuki yenu inaishia humu humu mitandaoni hao mnaowachukia ndio watekelezaji wakubwa wa siasa za nchi.
Ndio wapo karibu na watu kuanzia juu mpaka chini huko mtaani, nyinyi wasomi mnaishia kusema CCM imechoka lakini hamuonyeshi kwa vitendo huko kuchokwa kwao kupo vipi.
Zinakuwa ni mbwembwe za malalamiko ya facebook na JF na sio zaidi ya hapo.
Nguvu wanazozitumia CCM na serikali yake, wenye akili zao tayari wana majibu.Badala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Slaa kuvuruga malengo ya hoja husika.