Huku Dkt. Slaa, kule Silaa. Serikali Inaendeleza Vioja

Kuongoza nchi sio sawa na maongezi ya kwenye vikao vya kwenye vijiwe vya kahawa. Kuongoza nchi ni ubunifu wa hali ya juu.

Na sisi tunaolia hatupendi kuona mengi chanya yanayoazimiwa na kufikiwa na serikali hii hii ya CCM.
 
Hii ID imekuja hivi juzi tu maalum kuwasaidia kina denooJ kwenye issue ya bandari.
Yawezekana ndiye denooJ mwenyewe
 
Sijui wanapata faida gani
 
Nguvu wanazozitumia CCM na serikali yake, wenye akili zao tayari wana majibu.

Yaani huyo Jerry Silaa ana Kuja na mfano mmoja tu wa NMB halafu ana adai kuna mfano mingi ya mafanikio. Kwa nini aditaje mikataba 3 ya CCM yenye mafanikio!?

Hao DPW wako nchi nyingi Afrika pamoja na jirani zetu Mozambique. Mbona huko wameshindwa kuifendesha Beira kwa standards hizo tunazoambiwa!? Kweli akili za kuambiwa changan ya na zako.

Anyway, Warabu siyo Wajomba zetu ( by Malima, 2023).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…