Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fani za watu hizi huo ndio ukweli wenyewe,mnadhalilisha tasnia ya habari,inaonekana cheap sababu ya watu wa hovyo kama hao akina Steve.Nisiposikiliza Morning star radio (sauti ya matumaini) huko pengine nitasikiliza DW saa 7 na ile ya 12-1:30 hivi vipindi vingine ni utoto tu maana naona lengo la kuelimisha jamii siku hizi hakuna ni burudani tu kwenye hizo radio station
[emoji16] [emoji16]Huyu kuongea kwenyewe hawez anauma maneno kama shetani anatafuna UBANI
😂😂😂😂😂😂😂khaa! kweli dunia imeenda halijojo tasnia ya habari siku hizi imegeuzwa choo.
biasharakhaa! kweli dunia imeenda halijojo tasnia ya habari siku hizi imegeuzwa choo.
Si kuongea tu kwani kuna ufundi ndani yakekhaa! kweli dunia imeenda halijojo tasnia ya habari siku hizi imegeuzwa choo.
Alaf ni mwisho 2021 Serikali ilisema kama una Certificate hufai kuwa Journalist!!ila naskia huyu Yeye ana Degree ya Bachelor of Arts and Mass Communication'BAMC'alihitimu SAUT hahaha.Anacheti cha journalism??