Huku Hormuz, Kule Ebola, huku Vikwazo vya Marekani, CCM hawata tawala nchi

Huku Hormuz, Kule Ebola, huku Vikwazo vya Marekani, CCM hawata tawala nchi

heading na kilichopo ndani mbona kama havilandani au ni ufinyu wa akili yangu🤦‍♀️
 
heading na kilichopo ndani mbona kama havilandani au ni ufinyu wa akili yangu🤦‍♀️
Hormuz imesababisha mafuta kupanda, Ebola itasababisha Utalii kuanguka, Watu hawamtambui Samia na uhalali wa serikali yake kwa hiyo hawataweza kumtii kwenye majanga
 
Ni kosa kubwa kuua wananchi wako kisa madaraka, hawatalisaidia Jeshi na taasisi zingine wakati wa majanga...

CCM walijijengea tabia mbaya kutosikiliza ushauri watu, sasa wajiandae kutengwa
nonsense 🐒
 
Back
Top Bottom