MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Hormuz imesababisha mafuta kupanda, Ebola itasababisha Utalii kuanguka, Watu hawamtambui Samia na uhalali wa serikali yake kwa hiyo hawataweza kumtii kwenye majangaheading na kilichopo ndani mbona kama havilandani au ni ufinyu wa akili yangu🤦♀️
hapo sasa nimekuelewaHormuz imesababisha mafuta kupanda, Ebola itasababisha Utalii kuanguka, Watu hawamtambui Samia na uhalali wa serikali yake kwa hiyo hawataweza kumtii kwenye majanga
nonsense 🐒Ni kosa kubwa kuua wananchi wako kisa madaraka, hawatalisaidia Jeshi na taasisi zingine wakati wa majanga...
CCM walijijengea tabia mbaya kutosikiliza ushauri watu, sasa wajiandae kutengwa